Mnamkumbuka huyu dada!!

Halafu inaelekea wameshamharibu tayari, hebu angalia mkao wake ulivyo>>>>>

attachment.php
Hayo ni majukumu ya Mwigulu Mchemba. Si umeona Igunga anavyocharaza makada?
 
Hajui anachokifanya,sera za chama anachokipigia debe ndicho kilichopelekea wasanii wa bongo waibiwe kazi zao na wahindi,mpiga ngoma chaguzi zikiisha hana chake
 
Mh! dokii nina wasi nae. Ngoja kwanza nikanywe chai ya rangi nimwangalie vizuri. Thioni mwenzenu lol
 
inawezekana ikaonekana kauli ya kunyanyaapaa ila ndio ukweli, shule inalipa na haiwezi kukufanya ukose muelekeo kiasi hicho, mara alisema amehamishia maskani sauzi, mara muigizaji, mara ulokole na sasa bongofleva tena kuipamba ccm, sijui 2016 ataweka wapi sura yake
 
Hayo ni majukumu ya Mwigulu Mchemba. Si umeona Igunga anavyocharaza makada?
Mwigulu bana badala ya kwenda kufanya yaliyompeleka yeye anaenda kustarehe tena muda wa kazi,kwa viongozi wa sampuli hii sishangai Tanzania inavyoporomoka kimaendeleo,viongozi wa aina ya akina Mwigulu ndio hao tulionao,wengine ni mawaziri,makatibu wakuu,wakurugenzi orodha ni ndefu,wengi wao wakati wa kazi wako kwenye starehe,sasa hapo ni Igunga tu je na huko kwingine na je wakienda nchi za ng'ambo ambako hakuna anayewajua si inakuwa balaa
 
mmh ngoja tumwachie Mungu amjaji, mana si wotmd wasemao bwana bwana wataurithi ufalme wa Mungu
 
Back
Top Bottom