Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,856
Magulumali hajafanya lolote la maana kwa uchumi wetu. Kaua viwanda, kaua sekta ya kilimo, kaua demokrasia, kaua elimu kaua kila kitu kikiwemo na chama cha CCM kimeuliwa na MagulumaliUmeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Magulumali hakubaliki tena ndani na nje ya chama
Bernard Membe for presidency 2020