Mnajificha katika hoja ya ushoga ehh? jibuni nondo hizo

Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Magulumali hajafanya lolote la maana kwa uchumi wetu. Kaua viwanda, kaua sekta ya kilimo, kaua demokrasia, kaua elimu kaua kila kitu kikiwemo na chama cha CCM kimeuliwa na Magulumali
Magulumali hakubaliki tena ndani na nje ya chama
Bernard Membe for presidency 2020
 
Hiyo Tr 1,5 unaitaka ya nini sasa kama hata huyui iliko? Maneno ya kulishwa bila kujua undani yatakufanya ushidwe hata kushughulikia mambo ya mkeo.
Akili za watetezi wa serikali ni ndogo sana . Hata wanaotetewa wanawaonea aibu kwa comment kama hii.
 
Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Wewe ni bogus
 
Bunge Ulaya ni nani? Ni wapuuzi tu. Swala la mkeo hununulii chupi anavaa bra au la si swala la jirani kuja kuleta hoja kwa familia yako.
Sijajua kwanini hoja dhaifu hizi zinapata nafasi kupigiwa makofi bora kupigwa makofi na mnyakyusa kuliko makofi ya mjerumani.
Kwangu ile kauli ya Damu nzito kuliko maji inachukua mkondo
Mnyakyusa ameingiaje hapo?
 
Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Tutaendeleaje bila kufuata kanuni Na misingi ya katiba yetu tuanze hapo kwanza?
 
Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Kunyoosha nchi kwa kuua watu........Ulaaniwe shetani wewe
 
Umeandika kitoto sana. Shida unasahau hoja zote zinajibiwa kwa hoja? Kwa akili na uelewa wako? Tanzania na Israel ama Uganda nani anatakiwa awekewe vikwazo? Tatizo huwazi kwa kina kabla ya kuandika hapa. Nchi yoyote inapotaka kupiga hatua hakuna nchi inayofurahi.. Chukulia mfano wa nchi za barani afrika zilivyo .. Nchi ikitaka kujikomboa tu nyingine inaanza kununa.. Huyu JPM pamoja na mabaya yake .. Hakukuwa na haja ya vikwazo vyovyote .. Ila anapotanga kunyoosha nchi ikae vizuri wazungu wanaona masirahi yao yameenda na maji.
Kamanda tuambie...Lisu Mlimpiga risasi ngapi...
Wawaviumbe wanaopotea mnawahifadhi wapi....

Bei ya sukari itashuka lini?

Nini hatima ya Sh. yetu katika dola...

Noah tunakabidhiana lini...

Viwounder vinajengwa nchi gani...

Akwilina aliwa wakosea nini....
 
Achana na Sukali.. Kunywa Maji yanatosha.
 
Back
Top Bottom