Kuna swali langu nimekuuliza hapo awali,naomba nilirudie
Ukipata mtu ambaye Si mume wa mtu bado utakuwa una date naye kwa mlengo wa kuenjoy bila kuwa na expectations zozote?
Swali la ziada
Unapata changamoto zipi kutoka na mme wa mtu? Na una zikabiri vipi?
Namfahamu na bahati nzuri anatambua uwepo wangu mana nimwaka wa3 sasa niko na mumewe. Nakwakuwa dini yao inaruhusu mke zaidi ya 1 alitoa ruksa mumewe kuhalalisha ila mimi sipo tayari. Kama mwanamke najisikia vibaya ila ndio ishatokea.
Heshima yake kwa mkewe haijashuka, anamuheshimu kama mwanzo, ikiwa pamoja na matunzo tena wanapata mara3 zaidi ya nipatacho Mimi.
True! Na mimi nilikuwa namjibu T bag swali lake kuwa je bi mkubwa atakubali shosti aolewe mke wa pili? Ndo nikamjibu hivo asikubali vipi sasa wakati dini imeruhusu?
Je huogopi kurogwa au kupigwa bunduki na mwenye mume
Huoni ukikubali kuwa mke wa pili utainjoy na kupata haki sawa na bi mkubwa na pia utakuwa umehalalisha hata mbele ya mungu na kumpunguzia hukumu ya kufanya zinaa huyo mume wa mtu.au humuogopi mungu mwenzetu
Mungu namuogopa sana sipo tayari kuwa mke wa mtu kwasasa mie bado mdogo bata sijawamaliza.
Tatizo lingine dini mimi mkristo na siwezi kubadili dini hata iweje.
Ok. Asante kwa mwitikio wako.
Swali jingine....
Kwa sasa hauna mpango ama shauku ya ndoa, kwa mujibu wa maelezo yako.
Ningependa kujua muda ukiwadia ambapo wewe utakuwa na utayari wa ndoa/kuwa mke, kwa tathmini yacko uchaguzi wako utakuwa ni upi?
1. Je, utapendelea kuolewa na huyo mume wa mtu? Kwanini?
2. Utapendelea kuolewa na kijana/mwanaume mwingine tofauti na huyo mume wa mtu (au mwanaume yeyote yule aliyeoa)? Kwanini?
Lkn ulisema hauko tayari kuolewa
mh kwa hiyo huyo mwarabu ndio aliyekuwa ni wa kwanza kufungua mlango na ilkuwaje mkajikuta mpo kwa bed au alikuwa mzuka kwa ninavyojua mlidhamiria haswa mpaka mkaenda huko kwa bed hebu tujuze vizuri bwana
Wakati ukifika bado chaguo langu halitakuwa huyu ni mtu mwingine tu asiyekuwa mume wa mtu, ambaye Mungu atakuwa amenizawadia.
Sijui ni yule aliyekuwa anacheza ndombolo pale mjengoni lol . masikini mzee wa watu!!!
Hujamalizia kipengele cha 'kwanini?'
Umejitaid sana kuutetea uovu wako unaoufanya kwenye familia ya wenzako.Tafuta wako muanze safar yenu na baadae muoane,haujui wenzako wametoka wapi,ww unaingilia tu ndoa ya watu kwa tamaa ya cent.
Mimi huwa sidai ndoa wala sina kimuhe muhe cha kuolewa karibuni, mahusiano yangu naenjoy sana sababu hayana deni wala expectations tunafocus kwenye kuenjoy wakati tuliopo sio possibility za huko mbele, hiyo imenifanya niwe na appreciate mambo mazuri nayotendewa badala ya kukaa na kuhesabu vitu ambavyo sijatendewa you should try it sometimes too.