Kinachoendelea mwambie mtu mzima mwenzako asirudi hapa nyumba kubwa.
Maana nasikitika kuona anatukanwa na wadogo zangu.
Hawajui kuwa confession namba moja ni kutumia jina halisi...
As far as kila mtu ana fake ID kila mtu ana chance ya kuwa fake...
Wanaumiza vichwa sana kufanya guess work...
Badala ya ku stick kwenye substance ya debate...
ha ha ha what goes around comes back 10 times harder...
Leo zamu yangu...lol
Ni kweli nakuunga mkono asilimia 100, most of them humu ndani wamepitia hapo then wamekuja kuolewa na wametulia, la muhimu ni kumwambia aache mapema na ajiandalie maisha yake mapema kabla hajatumika sana na huyo mbaba, pia naona wanamshambulia sana kama woote tuliomo humu ndani ni watakatifu, mm siyo kama natetea tabia yake, au naipenda lakini ninachotaka kusema ni kwamba afadhali kawa mkweli kwetu so tuli ndani ya ndoa tumfundishe kuwa afanyalo si jema na abadilikaje na si kumcrash adhiifu yeye ndiye aliyeanza.
f
Na ukiamua kushindana na watoto watakutukana na wewe unakazana kurudisha ni lazima watakushinda tu, maana yeye ana moja wenzake wana mia moja, nashangaa sana anataka kushindana kuongea na Lara1, mwenzie kakulia kinondoni anajua mitaa yoooote, na njia zoooote, sasa sisi watuwazima na wahamiaji usibishane na mwenyeji.
Na ukiamua kushindana na watoto watakutukana na wewe unakazana kurudisha ni lazima watakushinda tu, maana yeye ana moja wenzake wana mia moja, nashangaa sana anataka kushindana kuongea na Lara1, mwenzie kakulia kinondoni anajua mitaa yoooote, na njia zoooote, sasa sisi watuwazima na wahamiaji usibishane na mwenyeji.
Sikatai usemavyo ila sidhani kama kumshambulia mtu kwa mameno makali makali ndiyo atabadili msimamo wake, au atajutia afanyalo , hapana, hapa ilitakiwa tumueleze madhara ya kuwa na mume wa mtu, mdogo wangu mm nilipiga naye kelele sana , lkn mwisho alipoumwa ndipo alijua madhara ya mume wa mtu, Mungu amuweke pema, Alitubu wakati keshaumwa na alifariki, so mm napetolea maneno makali, la muhimu sisi wenye ndoa tuwarekebishe na tuwafundishe ni jinsi gani mume anauma, maana na wao siku moja yatawakuta haya wafanyayo leo.Sasa Lisa,wote tuna makosa kibao,jamii ina makosa kibao...ndio justification ya ku-do more harm?....halafu,yes amekua wazi,we all do like that,ila hakuonesha remorse,yeye na Lara1 wana glorify wazi wazi in public which is more scarrier
Niaje NK....
Nawe leo umekua kibibi eeeh?
Una miaka 49?
wewe ulikuwa reserve namba ngapi...
Unaingiaje uwanjani mechi imeshaisha...
Au ulikuwa unacheza kutumia pm...
Nafurai sana navyowaumiza vichwa watu kama 40..
Mmmezidi kunipa confidence ya uwezo wangu kama kisiki cha mpingo...
Najua ma reserve wote mtajitokeza mmoja baada ya mwingine...
Am here...sijaishiwa dozi kwani hii si ebola
Sikatai usemavyo ila sidhani kama kumshambulia mtu kwa mameno makali makali ndiyo atabadili msimamo wake, au atajutia afanyalo , hapana, hapa ilitakiwa tumueleze madhara ya kuwa na mume wa mtu, mdogo wangu mm nilipiga naye kelele sana , lkn mwisho alipoumwa ndipo alijua madhara ya mume wa mtu, Mungu amuweke pema, Alitubu wakati keshaumwa na alifariki, so mm napetolea maneno makali, la muhimu sisi wenye ndoa tuwarekebishe na tuwafundishe ni jinsi gani mume anauma, maana na wao siku moja yatawakuta haya wafanyayo leo.
Wewe ulikuwa reserve namba ngapi...
Unaingiaje uwanjani mechi imeshaisha...
Au ulikuwa unacheza kutumia PM...
Nafurai sana navyowaumiza vichwa watu kama 40..
Mmmezidi kunipa confidence ya uwezo wangu kama kisiki cha mpingo...
Hahahahaa uko kamili gado...tunakuja ngoja mi nipige pushap mbili tatu
najua ma reserve wote mtajitokeza mmoja baada ya mwingine...
Am here...sijaishiwa dozi kwani hii si ebola
Im sorry for the loss u had of ur loved one,i'm feeling u!
Hapana uwazavyo sivyo niwazavyo mm, nilikuwa nafuatilia muda tu, ila nimeona niseme baada ya kuona unashambulina nao, na nikijua wewe ni mtu mzima na heshima zako, na umeshakaa kwenye ndoa unajua maisha yakoje na unajua jinsi mume anavyouma, kwa sababu hiyo hapa ni sehemu ya kuelimishana , ikifika muda wa kuzozana unaweza hata ukashikwa na hasira, maana wao wanaongea mengiiiiii, wewe unajibu moja, Tafadhali embu jiangalie umri wako na wao. Pls pls. uasiharibu heshima yako kwa sababu ya watoto. mm huwa nafurahia na kuheshimu sana comment zako hasa upande wa ndoa, so pls acha.
Ngabu wadduuuup nyuiiigah!
Khantwe mshabiki jamani...sameheaneni bana!