nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Hahahahaaaaaaaaa..... Haya maisha tu kila Mtu ana siri na ukweli wake moyoni, ya kwako hayawezi kufanana na yule kila mtu anasitaili yake yakuyaendesha.
Usitake kulazimisha kumbadili mtu mtazamo kisa tu wewe unaamini kitu Fulani.
Kubadilika ama kuacha ni maamuzi ya muhusika mwenyewe kuridhia kwamba sasa sitaki kufanya au kitu Fulani sikitaki.
Usitumie nguvu nyingi kutaka kusikika ila naimani kuna watu comment zako zimewasaidia ingawa sina hakika ulivyoviandika hapa na kiuhalisia uko hivyo au nyuma ya keyboard tu.
Hapo kwenye bold kwa tunaojua saikolojia ni dalili nzuri...
Umeanza ku admire tabia inayokubalika na jamii...
Mwanzo mzuri...uta change tu