MMU hot talk

MMU hot talk

Una miaka 23...tuombe uzima..baada ya miaka 7 njoo hapa utupe feedback ya maisha yako...
Ewaaaaaa ......

Hata kama hatakuja hapa mziki ataujua tu,anadhani wanaokuja hapa na kutafuta "mume yoyote' hawakuwa na mawazo kama yake na pengine msimamo mkali kuliko huo wake

Uhalisi ni k inyume sana na yale ambao hawa mabinti wanakuwa wanawaza na kujidanganya
Naona unavyotabasamu unapojipa moyo kuwa ndoa ya nyumba kubwa ni ndoano...endelea kuomba kwa shetani wako labda itakuwa hivyo...ila sidhani kama ana nguvu kuliko Mungu...
Hii nimeipenda sana ....

Lakini hapo usingesema "sidhani' bali ungesema "nina uhakika"!
 
Una miaka 23...tuombe uzima..baada ya miaka 7 njoo hapa utupe feedback ya maisha yako...

Naona unavyotabasamu unapojipa moyo kuwa ndoa ya nyumba kubwa ni ndoano...endelea kuomba kwa shetani wako labda itakuwa hivyo...ila sidhani kama ana nguvu kuliko Mungu...

Baada ya hiyo miaka 7 siutakuwa umekuwa bibi???? Bado utaendelea kuwemo humu badala ya kulea wajukuu??????

Kila siku lara 1 anauliza humu mabibi above 40 iko wapi happy ending yenu yakujitunza mnakanyagana..
Embu nipumulishe mwana wa mwenzio.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha humu mmu ni hoja tu hamna uadui asilani , labda uniambie mimi naishi tofauti haswaa au natumia kujiweka level sawa na wahanga.
Huwa nasimamia na ninachoamini na zaidi sipendi watu wanaoinflict hofu kupinga jambo.... Tena hofu yenyewe ni ya unknown haswaa , things like involving God kwenye sad endings/beautful endings/fairy tales.

Well UADUI UPO TEMPORARY KWENYE MADA HUSIKA! NO RETREAT NO SURRENDER! Page ya 30 KILA MTU AME HOLD GROUND! HUONI REPUBLICANS WAMEANZA KUONGEA KWA MAFUMBO NA GENERALIZATIONS! Hahahaaaaaa!

Naomba Ijumma HOT TALK ianze mapema!
 
Naunga mkono hoja yako mkuu....halafu anajitia ni tough woman wakati anasubiri mke wa jamaa ampe hisani ya kumpa mume nae ashee...kumbe ni kadhaifu tu hakawezi jenga vitu vyake kenyewe...hawa keyboard ganstars bana

Hahahahaaaaaaaa ......

Hivi mkuu unatumiaga koka au pepusii??

Umenifuarahisha sana aiseee!
 
Unamlindaje mtu, kulinda nyumba tunaweka walinzi. Lkn hata kama hujaweka mlinzi haifanyi aliyeruka ukuta na kuiba gari au TV yako asiwe mwizi.

So mwizi wa mke wa mtu amefanya dhambi 6; ya kwanza KUTAMANI, ya pili KUTAMANI MKE ASIYE WAKE, ya tatu KUZINI na ya nne KUZINI NA MKE WA MTU na thru all that atakuwa AMESEMA UONGO na huenda KUUA pia (kwa contraceptives au kutoa mimba)

Anayefanya uasherati anakuwa amefanya dhambi 2 au pengine 3; KUTAMANI, KUFANYA NGONO kabla ya ndoa, na huenda lkn sio kwa kiwango kikubwa KUUA kwa kutoa mimba au kuchoma sindano za kuzuia kizygote kisiingie kwenye mji wa mimba

Kabla hatujarudi kuhesabu idadi ya dhambi za zilizotendwa na za kufikirika naomba nijibu hiyo ishu ya ulinzi.
Kati ya angelita na mume ni nani anayepaswa kumlinda mke wa mume?
Je ni nani ana kiapo cha Mungu cha kumlinda mke?
Jibu hili maana naona ulikuwa unalikwepa kwa kulitolea maelezo marefu.
 
Chaaaaaaa...kumbe humu kuna ufamous???hahahahaha hureeeeee...awards wanapata wapi???aiseee ustaa wa kistuldinyo vibompa...pongezi kwa mastaa wote wa humu I hop it pays their bills:sly::sly: in kermitz voice but that's none of my businesses🙄🙄🙄
jf superstars hujui wapo..?
I tend to believe kuna characters zina attitude za kishule ya msingi humu.!!!!
 
kambales...mama hajulikani baba hajulikani....

REPUBLICANS MTAONGEA SANAA INA RIDDLES AND PARABLES!

Hate the game and not the playerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! Hahahahaaaaaaaaa! Kama nakuona vile!
 
Hahaha humu mmu ni hoja tu hamna uadui asilani , labda uniambie mimi naishi tofauti haswaa au natumia kujiweka level sawa na wahanga.
Huwa nasimamia na ninachoamini na zaidi sipendi watu wanaoinflict hofu kupinga jambo.... Tena hofu yenyewe ni ya unknown haswaa , things like involving God kwenye sad endings/beautful endings/fairy tales.

Asakuta sio hofu watu wanakuwekea....noo...u get it wrong...ishu ni tuwe careful tusiwaumize binadam wenzetu...kwenda kuchukua mume au mke wa mtu sio sawa,unaumiza watu kibao......hizo principle unazozisimamia zisiwe za kuonea watu with no reason
 
You wish...tukitembea barabarani mimi na wewe ...utaamkiwa mimi nambiwe mambo...

Na mipombe na starehe mnazoendekeza bado mnajiita vigoli?

I am proudly 39...lakini ukiniona kusema Gabrielle vile...unalo hilo...utazeeka mimi niko pale pale...

Unadhani kulea waume za watu kazi ndogo...

SIjawai danganya umri wangu kama wanawake wengi sababu najua napata compliments whenever I mention my age!!!!

Baada ya hiyo miaka 7 siutakuwa umekuwa bibi???? Bado utaendelea kuwemo humu badala ya kulea wajukuu??????

Kila siku lara 1 anauliza humu mabibi above 40 iko wapi happy ending yenu yakujitunza mnakanyagana..
Embu nipumulishe mwana wa mwenzio.
 
I did not know PEOPLE WERE SUPPOSED TO LOVE PEOPLE FOR A REASON! I though people should love for no reasons!

AND THIS WAS SO MUCH FUN WHEN WE WERE TALKING ABT THE TOPIC MAYBE YOU SHOULD STICK TO THE TOPIC DONT YOU THINK?

...there you go....no Matola as a back up this time..he ruined it and made me to go off topic.....
back to topic-find your man...a single one...not for the married guys....
 
Kabla hatujarudi kuhesabu idadi ya dhambi za zilizotendwa na za kufikirika naomba nijibu hiyo ishu ya ulinzi.
Kati ya angelita na mume ni nani anayepaswa kumlinda mke wa mume?
Je ni nani ana kiapo cha Mungu cha kumlinda mke?
Jibu hili maana naona ulikuwa unalikwepa kwa kulitolea maelezo marefu.

Asakuta wote wanamakosa...huyo baba anatakiwa awe makini zaidi ila huyo dada anatakiwa aplay part yake kuleta difference....usilete blame game hapa kama excuse.
 
Baada ya hiyo miaka 7 siutakuwa umekuwa bibi???? Bado utaendelea kuwemo humu badala ya kulea wajukuu??????

Kila siku lara 1 anauliza humu mabibi above 40 iko wapi happy ending yenu yakujitunza mnakanyagana..
Embu nipumulishe mwana wa mwenzio.

AOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOCCCCCCCCCCCCCCCCHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH! HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!

GIRL YOU IS REALLY BAD! Point lakini 7 years aint a joke! Ill be 37, old as shit! 40 is where we are all heading anyway!

AND THE HAPPY ENDING AINT COMMING ANY TIME SOON!

HILI JIBU LAKO MALAIKA LINAITWA SETTING EXAMPLE!
 
Ni kweli maana hata anaekwenda kuuwa nae anawaza pia na ana huo uhuru wa kuwaza hivyo

Ningependa kuujua huo msingi wako

Kimsingi mtu hujilinda mwenyewe
Na yoyote ambae anajisifia kwa kuchukua waume za watu ni wa hovyo pamoja na hao anaowachukua

Ukitaka sababu nitakupa!
lara 1 njoo unisaidie kujibu hapa mikono imevimba siunajua toka juzi nipo hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kabla hatujarudi kuhesabu idadi ya dhambi za zilizotendwa na za kufikirika naomba nijibu hiyo ishu ya ulinzi.
Kati ya angelita na mume ni nani anayepaswa kumlinda mke wa mume?
Je ni nani ana kiapo cha Mungu cha kumlinda mke?
Jibu hili maana naona ulikuwa unalikwepa kwa kulitolea maelezo marefu.

Mkuu kwanza kuwa mume wa mtu ni heshima kubwa sana labda tu kwa ambae hajui,lakini pia kuwa mke wa mtu ni heshima kubwa sana labda kwa ambae hajui

Kama wewe ni mume wa mtu halafu un akwenda kuvua suruali yako ni aibu kubwa sana
Kama wewe ni binti ambae unadhani unajiheshimu halafu unakwenda kushusha nguo yako ya ndani hovyo kiasi hiki jua wewe ni wa hovyo sana

Hapa kila mtu anatakiwa ajilinde na utu wake na sio kugeuka kuwa mbuzi ambae yeye anapanda kila jike au anapandwa na kila dume lin alopita mbele yake!
 
...there you go....no Matola as a back up this time..he ruined it and made me to go off topic.....
back to topic-find your man...a single one...not for the married guys....
Mkuu, kwani honorable Matola amewowa? Na hichi ni ki concubine tu? Teeeh!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom