Mkuu kwanza kuwa mume wa mtu ni heshima kubwa sana labda tu kwa ambae hajui,lakini pia kuwa mke wa mtu ni heshima kubwa sana labda kwa ambae hajui
Kama wewe ni mume wa mtu halafu un akwenda kuvua suruali yako ni aibu kubwa sana
Kama wewe ni binti ambae unadhani unajiheshimu halafu unakwenda kushusha nguo yako ya ndani hovyo kiasi hiki jua wewe ni wa hovyo sana
Hapa kila mtu anatakiwa ajilinde na utu wake na sio kugeuka kuwa mbuzi ambae yeye anapanda kila jike au anapandwa na kila dume lin alopita mbele yake!
Angelita ni age mate wa mdogo wangu kabisaaaaa kazaliwa 1991 ila siwezi kumshauri au kumssuport atembee na mume wa mtu haaaaaa anichie mimi tu dada yake ila yeye ale ujana na age mate wake si kubebeshana hayo mazigo huyo mume mke wake kamshindwaaaa yeye ndo atamuweza.????
Lara1 unadai una miaka 30.
dont spoil our young darling sister.....
Haaaaaaa embu kaa mbali na mtoto wa watu una sumu hatariiiiiiii.
Ni sawa na unakutwa unalalamika kuwa tum bo linakuuma na unataka msaada
Unapewa msaada halafu unaambiwa,umekunywa maji ambayo hayajachemshwa,ungejua usingekunywa hivyo u kashauriwa uwe makini,wewe unakurupuka na kudai,nilijua ndio maana nilikunywa .. ..
Utakuwa sawa kweli wewe au hujui unachokisema?
Hapo hujajibu swali langu mkuu japo mchango wako upo sahihi na umekaa vizuri....
Kati ya hawara na mume ni jukumu la nani kumlinda mke wa mume?
Soma nia na dhumuni la thread uelewe ndo utumwagie povu.
Hahahahaaaaaaaaaa! WATU KIBAO HUMU WAMEZAA NA WAUME ZA WATU, WENGINE WANACHEPUKA, WENGINE WANAPIGWA FREE P NAWAANGALIA TU HAPA WANAPOJIKOSHA HEKALUNI! MIFILE YAO NSA HAIFAIIIIII! Ila kwa kujikosha hatari!
Wanamuonea tu mtoto wa watu! KITU KITACHOMFANYA MTU YOYOTE HUMU AWE GRANNY CC angelita, au MDOGO KAMA miss neddy achumishwe mboga au kifo cha mende NI NJAA ZAKE TU wala sio sumu zangu! NIMO HUMU LEO MPAKA BASI!
I guess hii ni declaration weweni TEAM REPUBLICAN! Hahahaaaaa! Au bi ubuyu kote upo kama HOE?
Mtoto Angelita una 23 halafu "kimada",it doesnt get ugly more than that...halafu ukicheka mtu kwasababu ya umri utakua na kichaa mwanangu.
Soma nia na dhumuni la thread uelewe ndo utumwagie povu.
Mkuu kwa heshima yako ndomana sikutaka kukujibu na wala sitakujibu labda wengine wanisaidie kukujibu.
Huwezi kusema hawara ana jukumu la kumlinda mke aliyeshindwa kulindwa na mumewe ambaye anakiapo halali mbele ya Mungu kwa mkewe.Asakuta wote wanamakosa...huyo baba anatakiwa awe makini zaidi ila huyo dada anatakiwa aplay part yake kuleta difference....usilete blame game hapa kama excuse.
Madam 30 te te te...naona umekuja kuokoa jaazi...(ingawa you and I know that you are 40 lol)
Inaweza kukusaidia kupata mume kupunguza hiyo miaka 10...
Maana kama 'vigoli' kama Ange wamekosa singles wewe wa 40 utapata wapi...?
Nimejibu mkuu labda tu hujaona mahali ambapo kuna jibu
Kila mmoja ana jukumu la kujilinda mkuu!!
Yanini matusi mama?.....najua dhumuni la sred,ila it turned out mjadala umekua ni wewe kubrag kua proud "kimada"...yaani kitaalamu ni kwamba kwenye maisha umeishindwa kusimama wewe kama strong woman,ukasubiria mwanamke mwenzako kama wewe akugee mume wake mushee...yaani wewe ni mama misaada...prove me wrong,i dare u!!
Mkuu LebronWade...hii mbona kawaida kabisa...
Vitani risasi sikikuishia unaruhusiwa kutumia hata mawe japo unajua hayata saidia...
SO NOW YOU ARE QUOTING ME GRANNY! Hahahaaaaaaaaaaaa! Itakuwa kimekukolea ndimu kweli kweli!
HAHAHAAAAAA! NOT JUST YOU AND I, MATTER OF FACT HATA Asprin , Matola, and other party people wanajua IM 45!:A S wink: Hahaaaaaaa! Okay there you got me GRANNY (According to THE ANGEL!)
And YES! SIWEZI KUPATA NDO MAANA NACHUKUA WAUME ZA WATU! REMEMBER! Sasa sijui wewe IMEKUHUSU VIPI OR MAYBE KIBOMU CHA GRANNY KIMEGONGA IKULU! BWAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
And IT WAS SO MUCH FUN WHEN YOU WERE SPEAKING IN RIDDLES AND PARABLES! Orevwaaaa GRANNY!!!!!!! 7 years if im still alive ill definately be here CHECKINGGGGGGGGGGGGGGGGGGG!
Mkuu LebronWade...hii mbona kawaida kabisa...
Vitani risasi sikikuishia unaruhusiwa kutumia hata mawe japo unajua hayata saidia...
Soma mtiririko wa mjadala baina yangu na niliyemuuliza hilo swali halafu uniambie kama umejibu na kufikia maudhui ya swali langu....
Aksante.
Hahahahaaaaaaaaaa! WATU KIBAO HUMU WAMEZAA NA WAUME ZA WATU, WENGINE WANACHEPUKA, WENGINE WANAPIGWA FREE P