MMU hot talk

MMU hot talk

Nina amini atafanyia kazi ushauri wetu...
Kwa sasa bado ana digest, plus hasira...

Utu uzima dawa...
Sijawai kuona kimada ana amani maisha yake yote...
Ni furaha na anasa za mpito sana...

Hahahahaaaaaha, mawazo yako kila mtu ana Uhuru wakufikiri na kusema atakacho.

Sio wote wanaoenda kanisani nakusikiliza mahubiri basi watayabeba nakufanyia kazi.
Sie wengine tunaosimamia misingi tuliyojiwekea yanapita nakutokea huko kifupi hatuyumbishwi.

Pole maisha ndivyo yalivyo mana nakuona unavyotia huruma nakukazana kumuomba Mungu mumeo asiingie mikononi mwa wasiokwepesha.
 
HAHAHAAAAAAAAAAA! MSIKILIZE MATOLA TU! HE REALLY WISHES I WAS THAT SWEET GIRL NEXT DOOR! WELL IM NOT! Baby im sorry to disapoint you but im that WOLF and that is who i am.

call a spade a spade......kakupendea nini sasa.....definately not the foxy in you since you are mediocre...
 
Hahaha..av always been a backbencher since kg so am honoured to be placed in the back....vilaza na andunjes ndo walikuwa wanakaa mbele....mie mtoto nimepanda hewani mbele kwa nini si ntawaziba nyie vidumpa hahahahah...niko zangu nyuma toka ijumaaa na sidaiwi na mtu labda ka una lingine???🙄🙄

GOOD! I GUESS THIS IS A WY OF YOU SAYING THANKS FOR THE BACK SEAT! WELL GESTURE APPRECIATED! :A S wink: I guess we are done hear! HAVE FUN! Your 2 seconds of fame are SO OVER anyway!:bounce::bounce::bounce:
 
Kaunga jukumu la kumlinda mke/mume ni la mwenye ndoa? au la hawara?
Jibu sahihi la hilo swali litakuwa limekuondolea utata wote.

Unamlindaje mtu, kulinda nyumba tunaweka walinzi. Lkn hata kama hujaweka mlinzi haifanyi aliyeruka ukuta na kuiba gari au TV yako asiwe mwizi.

So mwizi wa mke wa mtu amefanya dhambi 6; ya kwanza KUTAMANI, ya pili KUTAMANI MKE ASIYE WAKE, ya tatu KUZINI na ya nne KUZINI NA MKE WA MTU na thru all that atakuwa AMESEMA UONGO na huenda KUUA pia (kwa contraceptives au kutoa mimba)

Anayefanya uasherati anakuwa amefanya dhambi 2 au pengine 3; KUTAMANI, KUFANYA NGONO kabla ya ndoa, na huenda lkn sio kwa kiwango kikubwa KUUA kwa kutoa mimba au kuchoma sindano za kuzuia kizygote kisiingie kwenye mji wa mimba
 
Last edited by a moderator:
Una miaka 23...tuombe uzima..baada ya miaka 7 njoo hapa utupe feedback ya maisha yako...

Naona unavyotabasamu unapojipa moyo kuwa ndoa ya nyumba kubwa ni ndoano...endelea kuomba kwa shetani wako labda itakuwa hivyo...ila sidhani kama ana nguvu kuliko Mungu...

Hahahahaaaaaha, mawazo yako kila mtu ana Uhuru wakufikiri na kusema atakacho.

Sio wote wanaoenda kanisani nakusikiliza mahubiri basi watayabeba nakufanyia kazi.
Sie wengine tunaosimamia misingi tuliyojiwekea yanapita nakutokea huko kifupi hatuyumbishwi.

Pole maisha ndivyo yalivyo mana nakuona unavyotia huruma nakukazana kumuomba Mungu mumeo asiingie mikononi mwa wasiokwepesha.
 
20's years old ni kujitia nuksi tu katika maisha ukiendekeza njaa za kupewa pesa na kufanywa kimada.

Mapema sana ndo umri wake wa kufanya hayo hope akifika 26 au 30 atatulia.
 
call a spade a spade......kakupendea nini sasa.....definately not the foxy in you since you are mediocre...

I did not know PEOPLE WERE SUPPOSED TO LOVE PEOPLE FOR A REASON! I though people should love for no reasons!

AND THIS WAS SO MUCH FUN WHEN WE WERE TALKING ABT THE TOPIC MAYBE YOU SHOULD STICK TO THE TOPIC DONT YOU THINK?
 
HAHAHAAAAAAAAAAA! MSIKILIZE MATOLA TU! HE REALLY WISHES I WAS THAT SWEET GIRL NEXT DOOR! WELL IM NOT! Baby im sorry to disapoint you but im that WOLF and that is who i am.

Wolf wa nini sasa?Wa kupigwa P?Sasa ajabu ni kipi hapo?....sijaelewa proud ni ya kitu gani hapo sasa?
 
Nina amini atafanyia kazi ushauri wetu...
Kwa sasa bado ana digest, plus hasira...

Utu uzima dawa...
Sijawai kuona kimada ana amani maisha yake yote...
Ni furaha na anasa za mpito sana...

Umenena!.......
Mbona hukuniita jamani kwenye huu uzi!
 
Hahahahaaaaaha, mawazo yako kila mtu ana Uhuru wakufikiri na kusema atakacho.
Ni kweli maana hata anaekwenda kuuwa nae anawaza pia na ana huo uhuru wa kuwaza hivyo
Sio wote wanaoenda kanisani nakusikiliza mahubiri basi watayabeba nakufanyia kazi.
Sie wengine tunaosimamia misingi tuliyojiwekea yanapita nakutokea huko kifupi hatuyumbishwi.
Ningependa kuujua huo msingi wako
Pole maisha ndivyo yalivyo mana nakuona unavyotia huruma nakukazana kumuomba Mungu mumeo asiingie mikononi mwa wasiokwepesha.
Kimsingi mtu hujilinda mwenyewe
Na yoyote ambae anajisifia kwa kuchukua waume za watu ni wa hovyo pamoja na hao anaowachukua

Ukitaka sababu nitakupa!
 
AN ENEMY OF YOUR ENEMY AUTOMATICALLY BECOMES YOUR BEST FRIENDS! We can go back to rivals as soon as thi is over but for now we are PALS! CONSIDER IT A STRATEGIC ALLIANCE! :A S wink::A S wink:

Hahaha humu mmu ni hoja tu hamna uadui asilani , labda uniambie mimi naishi tofauti haswaa au natumia kujiweka level sawa na wahanga.
Huwa nasimamia na ninachoamini na zaidi sipendi watu wanaoinflict hofu kupinga jambo.... Tena hofu yenyewe ni ya unknown haswaa , things like involving God kwenye sad endings/beautful endings/fairy tales.
 
GOOD! I GUESS THIS IS A WY OF YOU SAYING THANKS FOR THE BACK SEAT! WELL GESTURE APPRECIATED! :A S wink: I guess we are done hear! HAVE FUN! Your 2 seconds of fame are SO OVER anyway!:bounce::bounce::bounce:

Chaaaaaaa...kumbe humu kuna ufamous???hahahahaha hureeeeee...awards wanapata wapi???aiseee ustaa wa kistuldinyo vibompa...pongezi kwa mastaa wote wa humu I hop it pays their bills:sly::sly: in kermitz voice but that's none of my businesses🙄🙄🙄
 
Ahsante nyumba kubwa hayo ndo mambo ya kukumbushana.

HAHAHAAAAAAAAAAAA! Haya mambo yanakumbushwa daily nyuma za bada sioni hata mtekelezaji si VIONGOZI WA DINI WENYEWE WALA WAUMINI! Asikilizwi muadhini wala mnadi swala! Chezea binadamu weyeeeeeee!
 
Una miaka 23...tuombe uzima..baada ya miaka 7 njoo hapa utupe feedback ya maisha yako...

Naona unavyotabasamu unapojipa moyo kuwa ndoa ya nyumba kubwa ni ndoano...endelea kuomba kwa shetani wako labda itakuwa hivyo...ila sidhani kama ana nguvu kuliko Mungu...

Naunga mkono hoja yako mkuu....halafu anajitia ni tough woman wakati anasubiri mke wa jamaa ampe hisani ya kumpa mume nae ashee...kumbe ni kadhaifu tu hakawezi jenga vitu vyake kenyewe...hawa keyboard ganstars bana
 
Back
Top Bottom