Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Hahahaahahahaaaaaaa, nimecheka hadi hubby kashituka ikabidi nimuoneshe nayeye acheke.
Ila tu ukumbuke wakati na muda utakapofika unapita kila kanisa na kwa kila mchungaji mitume na manabii ili uombewe kupata mume ukweli ni kwamba ulishakataa mwenyewe kuwa na mume wako kwenye umri muhafaka ukarukia ndoa za wengine hapo ndio utamiini kwamba Karma is a bitch.