MMU hot talk

MMU hot talk

jf superstars hujui wapo..?
I tend to believe kuna characters zina attitude za kishule ya msingi humu.!!!!

I call it cheap popularity...ufamous behind keyboard??hahahaha kazi wanayo hao mastaa,tatizo people live to impress wengine unakuja shtuka uzee ushakuvaa...am a star of my own life sinaga fantansy kwa vilike vya humu ndani kwa watu wenye id feki..it's lame
 
Mkuu kwanza kuwa mume wa mtu ni heshima kubwa sana labda tu kwa ambae hajui,lakini pia kuwa mke wa mtu ni heshima kubwa sana labda kwa ambae hajui

Kama wewe ni mume wa mtu halafu un akwenda kuvua suruali yako ni aibu kubwa sana
Kama wewe ni binti ambae unadhani unajiheshimu halafu unakwenda kushusha nguo yako ya ndani hovyo kiasi hiki jua wewe ni wa hovyo sana

Hapa kila mtu anatakiwa ajilinde na utu wake na sio kugeuka kuwa mbuzi ambae yeye anapanda kila jike au anapandwa na kila dume lin alopita mbele yake!
Na mie nakununulia novida kwa maneno kuntu mkuu.
 
...there you go....no Matola as a back up this time..he ruined it and made me to go off topic.....
back to topic-find your man...a single one...not for the married guys....

Good to get back on line!

AND NOOOOOOOOOOOOOO! I WANNA BE SINGLE AS LONG AS NECESSARY SO THAT I GET TO PLAY ON BOTH SIDES, BE CAPTAIN OF BOTH TEAMS THE MBA TEAM, AND THE BACHELORS TEAM! NOT TO MENTION GET AWAY WITH IT:A S wink::A S wink::A S wink: SORRY TO DISAPPOINT YOU BUT I AM FINE WHERE I AM RIGHT NOW.
 
You wish...tukitembea barabarani mimi na wewe ...utaamkiwa mimi nambiwe mambo...

Na mipombe na starehe mnazoendekeza bado mnajiita vigoli?

I am proudly 39...lakini ukiniona kusema Gabrielle vile...unalo hilo...utazeeka mimi niko pale pale...

Unadhani kulea waume za watu kazi ndogo...

SIjawai danganya umri wangu kama wanawake wengi sababu najua napata compliments whenever I mention my age!!!!

Hahahahahaaaaa.... Atauonekane mdogo kiasi gani kama umezaliwa 1938 halikwepeki.. Sipati picha miaka 7 ijayo utakuwa OLD AS SHIT.... Namimi bado ntakuwa mdogo kwako Daima.

Grandmaaa wacha mjukuu niongee na mama zangu sio wewe bwana tulizana.
 
REPUBLICANS MTAONGEA SANAA INA RIDDLES AND PARABLES!

Hate the game and not the playerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! Hahahahaaaaaaaaa! Kama nakuona vile!

even players get pre-alert notices,warning for initial attempts and eventually penalized for their misdeed....you and co are no excemptions
 
Angelita ni age mate wa mdogo wangu kabisaaaaa kazaliwa 1991 ila siwezi kumshauri au kumssuport atembee na mume wa mtu haaaaaa anichie mimi tu dada yake ila yeye ale ujana na age mate wake si kubebeshana hayo mazigo huyo mume mke wake kamshindwaaaa yeye ndo atamuweza.????
HAHAHAAAAAAAAAAAA! Haya mambo yanakumbushwa daily nyuma za bada sioni hata mtekelezaji si VIONGOZI WA DINI WENYEWE WALA WAUMINI! Asikilizwi muadhini wala mnadi swala! Chezea binadamu weyeeeeeee!
Lara1 unadai una miaka 30.
dont spoil our young darling sister.....
Haaaaaaa embu kaa mbali na mtoto wa watu una sumu hatariiiiiiii.
 
Mie naomba pepusiiiii

stock-photo-20136990-pepsi-cola-collection.jpg

Hiyo hapo ......!!
 
Sred iko poa ila naona ni vita ya hawa unmarried women kutaka kuhalalisha kuvamia waume za wanawake wenzao...i see ni bitter women with fragile emotions...subirini mtapata waume mtaolewa bana...yanini muwe "vimada" na nyie si kama wao,wana nini nyie hamna?

Cc:angelita,lara1
 
Asakuta sio hofu watu wanakuwekea....noo...u get it wrong...ishu ni tuwe careful tusiwaumize binadam wenzetu...kwenda kuchukua mume au mke wa mtu sio sawa,unaumiza watu kibao......hizo principle unazozisimamia zisiwe za kuonea watu with no reason
Mkuu kutolea mfano like kuwa wanaofanya hivyo mwisho wao mbaya , wanaishia kupata ngoma , sijui sad endings n.k km malipo yao hapa duniani mimi nakata kabisa......
Kwani kuna watu waliokuwa wema tu na wamepata hizo sad endings ikiwemo kupata ngoma , hata vitoto vichanga vinaambukizwa ngoma.... Why uhusishe na matukio haya!
Huwezi kupinga baya kwa kuinflict hofu,,,, period.
Halafu mkuu hapo kwenye ndoa anayemuumiza mwanandoa ni mwanandoa mwenzake na siyo hawara.

Hivi kila mtu akitulia kwenye ndoa yake mahawara watatoka wapi?
Kama siyo angelita basi atakuwa mwingine nakuambia , tatizo kuu/mzizi wa tatizo ni huyo mume na siyo angelita kama unavyodhani.
 
Ya humu mh!!!mimi mpitaji tu, nayaacha kama yalivyo.:what::what::what:
 
Hahahahahaaaaa.... Atauonekane mdogo kiasi gani kama umezaliwa 1938 halikwepeki.. Sipati picha miaka 7 ijayo utakuwa OLD AS SHIT.... Namimi bado ntakuwa mdogo kwako Daima.

Grandmaaa wacha mjukuu niongee na mama zangu sio wewe bwana tulizana.

HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! GRANNNNNNNNNNNNNNNNNNNY! GIRL YOU IS VERY MEAN! HAHAHAAAAAAAAAAAA!

Il mwenzangu kweli UJANA WAO WALIKULA NA NANI WAJE WAKUBANE WEWE JIONI HIII! AAAAAAAAAAH WAPI! MTU 7 YEARS ZIJAZO ANA PLAN KUWAMO HUMU? DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU! IMEBIDI NICHUKUE SCREEN SHOT YA SOUVENIR IN CASE NIKIJAALIWA KUWAKO HIZO 7 YEARS!!!!!!!!!!!!

YOU ARE 21 ISHI KAMA KADADA KA 21 USIFATE USHAURI WA WATU WALIOFUJA UJANA WAO WAMEJAZA MI THEORY WAKUZEESHE UISHI KAMA YOU ARE 40 OR A GRANNY TOO!

AGE IS INDEED IN YOUR FAVOR!
 
And you will be happy kwa sababu umri wako unaenda nyuma...
Unachekesha sana dogo...mimi leo hii nimcheke mamangu kisa amezeeka ...
Kwani kuna mtu atabaki na umri wake forever...

Tafuta kombora lingine...mimi sinyanyapaliki na age...sorry oo000oo (in Nigerian voice)

Ukishindwa mwombe Lara 1 akusaidie...maana hiki ni kisiki cha mpingo...

Hahahahahaaaaa.... Atauonekane mdogo kiasi gani kama umezaliwa 1938 halikwepeki.. Sipati picha miaka 7 ijayo utakuwa OLD AS SHIT.... Namimi bado ntakuwa mdogo kwako Daima.

Grandmaaa wacha mjukuu niongee na mama zangu sio wewe bwana tulizana.
 
Hahahahahaaaaa.... Atauonekane mdogo kiasi gani kama umezaliwa 1938 halikwepeki.. Sipati picha miaka 7 ijayo utakuwa OLD AS SHIT.... Namimi bado ntakuwa mdogo kwako Daima.

Grandmaaa wacha mjukuu niongee na mama zangu sio wewe bwana tulizana.

Mtoto Angelita una 23 halafu "kimada",it doesnt get ugly more than that...halafu ukicheka mtu kwasababu ya umri utakua na kichaa mwanangu.
 
Madam 30 te te te...naona umekuja kuokoa jaazi...(ingawa you and I know that you are 40 lol)

Inaweza kukusaidia kupata mume kupunguza hiyo miaka 10...

Maana kama 'vigoli' kama Ange wamekosa singles wewe wa 40 utapata wapi...?

HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! GRANNNNNNNNNNNNNNNNNNNY! GIRL YOU IS VERY MEAN! HAHAHAAAAAAAAAAAA!

Il mwenzangu kweli UJANA WAO WALIKULA NA NANI WAJE WAKUBANE WEWE JIONI HIII! AAAAAAAAAAH WAPI! MTU 7 YEARS ZIJAZO ANA PLAN KUWAMO HUMU? DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU! IMEBIDI NICHUKUE SCREEN SHOT YA SOUVENIR IN CASE NIKIJAALIWA KUWAKO HIZO 7 YEARS!!!!!!!!!!!!

YOU ARE 21 ISHI KAMA KADADA KA 21 USIFATE USHAURI WA WATU WALIOFUJA UJANA WAO WAMEJAZA MI THEORY WAKUZEESHE UISHI KAMA YOU ARE 40 OR A GRANNY TOO!

AGE IS INDEED IN YOUR FAVOR!
 
Najua ndomana nikaongea.

Ni sawa na unakutwa unalalamika kuwa tum bo linakuuma na unataka msaada

Unapewa msaada halafu unaambiwa,umekunywa maji ambayo hayajachemshwa,ungejua usingekunywa hivyo u kashauriwa uwe makini,wewe unakurupuka na kudai,nilijua ndio maana nilikunywa .. ..

Utakuwa sawa kweli wewe au hujui unachokisema?
 
Sred iko poa ila naona ni vita ya hawa unmarried women kutaka kuhalalisha kuvamia waume za wanawake wenzao...i see ni bitter women with fragile emotions...subirini mtapata waume mtaolewa bana...yanini muwe "vimada" na nyie si kama wao,wana nini nyie hamna?

Cc:angelita,lara1

Soma nia na dhumuni la thread uelewe ndo utumwagie povu.
 
Back
Top Bottom