MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

Hahahaha... watu mnavyoogopa kufahamika? siku moja ntakukumbusha tuligongana wapi.
Haya bana sasa wazee wa kisasa mtusaidie malezi bora kwa hawa wanetu, hasa binti yangu Zion Daughter mnisaidie kumfunda manake huu utandawazi unatutisha tuliona watoto wa kike.
Shikamoo dady..Leo nipo kule kwenye ujasiriamali..Thanks to utandawazi......
 
ulishawahi kumwambia hivyo? na ni kitu gani ulikiona/kikafufanya umuonee anazeeka?


Honestly, huwa namwambia kwa utani kwa sababu najua hapendi kabisa kumwambia...

Kwa upande wangu, bibi hatakaa azeeke...kila siku anakuwa kama ndo tunakutana pale tulipoonana siku ya kwanza...

Naomba niishie hapa, kwa sababu huwa nashindwa kujizuia when talking about her...I wish I were a composer...

Haki ya nani ningemtegenezea kama albam 100!!

Babu DC!!
 
hahahah! babu nae huyu umri wake umeenda manake ni above 35......ujue. mie ndo kikongwe and siriaz niambie kwanza menopouse naifanyeje manake nina dalili zake zote.

Anyway,

Ngoja nisiseme zaidi...ila huo umri mnaoongelea ni mdogo sana kwetu wenzenu!!

Babu DC!!
 
hapo bold sio wao peke yao wenye wa kiume ndo zaid manake bora wa kike akitiwa itajulikana ni haki yake na wajibu wake kutiwa sasa wa kiume uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamani natenga msiba mm lol! yani inapokujaga ishu ya malezi huwaga najikuta nafunga novena paasi kutegemea lol! manake vijana wa kiume wa sasa hadi waelewe maana na thamani yao kama wanaume sio mchezo duh! ama tubadilishane?? unisaidie likizo hii kuwapa shule ile yenyewe kwamba kwann ni wanaume na mm unipe huyo Zion Daughter nimfunde??

ila onyo nikimfunda uwe tayari umeridhika kupokea mahari lol!

Hapo kwenye mahari sasa, wana ng'ombe za kutosha?
 
Honestly, huwa namwambia kwa utani kwa sababu najua hapendi kabisa kumwambia...

Kwa upande wangu, bibi hatakaa azeeke...kila siku anakuwa kama ndo tunakutana pale tulipoonana siku ya kwanza...


Naomba niishie hapa, kwa sababu huwa nashindwa kujizuia when talking about her...I wish I were a composer...

Haki ya nani ningemtegenezea kama albam 100!!

Babu DC!!

waooooo....:busu
 
Ayaaaaa nimekubamba red handed!! Kumbe ndio kwaaaaanza unakaribia 40s? kumbe bado mduuuuuuchu!
kweli we nimeamini we ni mbishiiiiiiiii, kupita maelezo! nimeku-pm picha yangu ya kale, sasa na nitakavyozeeka nitakavyokuwa, umeiona eeeeee?? sasa judge mwenyewe!
 
hapo bold sio wao peke yao wenye wa kiume ndo zaid manake bora wa kike akitiwa itajulikana ni haki yake na wajibu wake kutiwa sasa wa kiume uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamani natenga msiba mm lol! yani inapokujaga ishu ya malezi huwaga najikuta nafunga novena paasi kutegemea lol! manake vijana wa kiume wa sasa hadi waelewe maana na thamani yao kama wanaume sio mchezo duh! ama tubadilishane?? unisaidie likizo hii kuwapa shule ile yenyewe kwamba kwann ni wanaume na mm unipe huyo Zion Daughter nimfunde??

ila onyo nikimfunda uwe tayari umeridhika kupokea mahari lol!

Yalaaah... yani huo mstari nilipousoma nywele zimesimama wima kichwani. Angekuwa bibi yangu ndio kasikia hayo maneno angekwambia tema mate chini, hiyo si kitu ya kudhania ama kuombea ikukute, yaani ni hatari zaidi ya hatari yenyewe.

Mimi ukiniletea mahari kwa binti yangu nitakushukuru kwakuwa hicho ndio kitu pekee ninachokitarajia kwa sasa.
 
kweli we nimeamini we ni mbishiiiiiiiii, kupita maelezo! nimeku-pm picha yangu ya kale, sasa na nitakavyozeeka nitakavyokuwa, umeiona eeeeee?? sasa judge mwenyewe!

Hahahaha... usipokuwa mbishi utadanganyika kirahisi ndugu yangu.
Si unaona sasa nilivyokuwa mbishi hadi umeamua kunitumia picha? ningeipata wapi kama nisingebisha?
Halafu nimegundua wewe ni mkareee sana kwa mujibu wa picha uliyonitumia!! ulikuwa wapi siku zote hatukuwahi kugongana kitaa??:smiling::smiling::smiling:
 
aaahhhh hajambo sana! anaisalimu jf nzima, maana huwa haelewi ni nini huwa nafanya huku ndani siku nzima!!

Bora asielewe shemeji cacico walau kwa sasa ila mchango wako ni mkubwa sana katika kujenga taifa kupitia mafundisho kwa vijana. Wazee tunaangalia tu
 
Last edited by a moderator:
Nilikuona tu nikakimbia,the Boss ni wa kale...wewe ndo director kwa sasa....nakuja huko huko sasa hivi.

Yaani wewe Mtoto ni Pasua kichwa hata sijui unataka nini labda wana MMU wanisaidie Khaaa! Mbona huku huji sasa? Au umeenda kona tena. Usije nifanya anyekulaghai nikampumzisha mtu kwa amani!

Ohooo! We haya we!
 
babu umri ukienda umeeda tu bana, sasa haya ya young looking face ni matokeo ya kujipenda tu. huwez ukaamin haya ila mie na shogaangu cacico na snowhite ni vikongwe ila tu saluni ndo zinatunyanyua

umesahau siri nyingine!ni kuufurahia tu mpyari !walahi kila siku ka tumezaliwa leo yailahi!wabichiiiiiiii!watekeeeee!shurti twaliwa kwa uma na kijiko!ahahahhahahhahhahhahahhah wapi mimi cacico gfsonwin !chezeya kujijua kuwa mtamu weye!wajiramba mwenywe kabla hujaaambiwa!
HALULA!mi staki jamani!
 
Last edited by a moderator:
babu hata mwanaume mkorofi tena mwenye maudhi kama nn lazima ishu ya kugongewa mkewe hana masihara. yaani atakufa mweneywe. ila sasa kuna kitu nilichokigundu Jpo sio kizuri. mwanaume akihisi mkewe anarushwa maji yaani kama alikuwa mkorofi hurudisha nidham nyumban tena na yeye mwenyewe huanza kutulia na kubembeleza mkewe kana kwamba alipokuwa anamtesa mkewe hakujua hayo.

mwali shikamoo!
 
Back
Top Bottom