MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

Yaani wewe Mtoto ni Pasua kichwa hata sijui unataka nini labda wana MMU wanisaidie Khaaa! Mbona huku huji sasa? Au umeenda kona tena. Usije nifanya anyekulaghai nikampumzisha mtu kwa amani!

Ohooo! We haya we!

hahahahahha! mkuu hata barlow alijua kwa silaha na ulinzi alokuwa nao hakuna ambaye ange mRIP ila ikawa kinyume chake.sipendi nikukose lol!
 
Kama umemtaja na snowhite basi umepunguza credits kwa upande wangu....

Huyo bado sana tena sana....tatizo ni kwamba kuna jamaa aliamua kuvunja sheria kwa kumwingiza minor mujini kwenye streets za MMU...otherwise, huyo angetakiwa ndo awe anarekebisha mitandao baada ya kukimbizana na network search...

Babu DC!!
babu!
mi kwani hivi mahari ulikula walikuchinjia baharini!
mi nakumbuka tulishayamaliza haya ya minor!na mkaja wa babu ukapewa kabisaaaaa!sasa nini tena jamani!MINOR MWENYEWE ALIKUWA NA KIRANGA KAMA NINI!WACHA ALIBANANISHWA TU!
 
hata kama umeikwepesha huku najua hii ilikuwa yangu!ahahahahhahahhahah lione af mtindo wa kumwaga siri hapa kuwa nimekutumia album ndo nini!kwaza nimekudanganyishia yote ni mipicha duka ile!mwenye ukiniona mbona utajing'ata!
 
hata kama umeikwepesha huku najua hii ilikuwa yangu!ahahahahhahahhahah lione af mtindo wa kumwaga siri hapa kuwa nimekutumia album ndo nini!kwaza nimekudanganyishia yote ni mipicha duka ile!mwenye ukiniona mbona utajing'ata!

Ila nasikia una mpododo (source Bambo) wa ukweli!
Ila taarifa hii nilipewa na msiri wako!
 
Haa haa we mtoto usually na deal na mama zako au dada zako wakubwa
nahofia utaniganda mno.....so yes only golf of course lol
...
kwa mengine nitafutie dada zako au mama zako wadogo hivi lol
karibu tena.....nashkuru kwa interview ...lol

The Boss,umetisha mkuu!Lara 1, wewe na maswali yako ya kichokozi bana unaniacha hoi sana ila respect kwa mtu mzima The Boss amekupatia!lol.
 
hahahahahha! mkuu hata barlow alijua kwa silaha na ulinzi alokuwa nao hakuna ambaye ange mRIP ila ikawa kinyume chake.sipendi nikukose lol!


Haaaa haaaaa bahati yake Michelle alikuja chemba aka-surrender na kutubu madhambi yote. Kumbe kisa ni The Boss ndo alikuwa anamlostisha na VG-Cent. Nimemsamehe lakini.

Sasa boss gfsonwin mbona umepotea Kungwi? I mean mitaa ya kwetu huku madongo kuinama. Wadau wanakuulizia sana maana somo lako la last time walilipenda.

Usipotee sana boss.
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi sema hapa jamvini... Sikumbuki ni thread gani. Ukitaka kujua mawazo, attitude na mtazamo wa mwanaume dhidi ya wanawake hasa katika kuwafafanua na nafasi zao katika jamii angalia mke aliye oa... It says Loads.

Personally naamini kabisa HAKUNA mwanaume rijali ambaye ha appreciate extrem urembo na beauty in a woman... Hakuna! Mtapishana katika kile kinacho waeuwa iwe makalio, macho, kiuno, miguu... But at the end of the day wote mpo page moja.
Hapa umeuwa kabisa! Manake ni ukweli usio na kificho
 
wow! nice interview, Boss kafunguka ipasavyo.. mmh! sidhani kama kuna ''adventure'' yoyote kwenye mapenzi huyu kaka haijui, mweeeh!!!
 
Hii kitu irudishwe tena, mkuu lara 1 hapa ulikua na mawazo chanya.

member wapya wamekua wengi , wazo hili nigependa uliheushe
 
Last edited by a moderator:
Kumbe The Boss uli perform bonge la show JF MMU...

Sijuhi nilikuwa wapi sikuona hii kitu kabisa...

ningekupiga maswali magumu shukuru Mungu...teh teh teh

Ila naona wewe ni bonge la diplomat aisee... umejibu kwa ufundi mkubwa (haukwazi mtu lol)
 
lara1 show kama hii andaa nyingine
 
Last edited by a moderator:
Nimeikubali show 100%#lara1#unafaa kuanzisha show live.
The Boss pamoja sana.
 
Back
Top Bottom