- Thread starter
- #121
Nafikiri mpaka mwisho wa dahali.asprin,
haka kathread kila siku unakaibua... kataendelea mpaka lini?
Nafikiri mpaka mwisho wa dahali.asprin,
haka kathread kila siku unakaibua... kataendelea mpaka lini?
Hata wewe mzee wa Hungumalwa?uhhhh nimisahaulika kabisa
Hata wewe mzee wa Hungumalwa?
Aah mkuu, add to the original list Mr. Rocky.(Off topic:Vipi lile gulio maarufu pale Hungumalwa huwa bado lipo?)hahahahah kabisa mkuu
nashangaa siko kweney list
Lizzy upo mazee?Mbona kimyaa?
mchakachuaji!mkuu, unajua jukwaa la siasa ni utata mtupu, yaani bora uku tunakutana na mawazo mapya.
Mbona mie sikukuona AshaDii?Au uzee unaninyemelea?Ulimakafu karudi sasa, jana tulikua nae saana pale MMU....
Mbona mie sikukuona AshaDii?Au uzee unaninyemelea?
Na kweli umeonekana.Yupo... tembelea MMU utamuona...
Mbona yupo sana tu mkuu?Muongeze na Bebii Hajawahi Kukosekana tangu alipojiunga.
Muongeze na Bebii Hajawahi Kukosekana tangu alipojiunga.[/QUOTE]
Bebii na Canta.....hao ni never miss,kwa hiyo list ieditiwe ili kuwaongeza
Aah mkuu, add to the original list Mr. Rocky.(Off topic:Vipi lile gulio maarufu pale Hungumalwa huwa bado lipo?)
Haina tabu mkuu.Aise mkuu nilipitiwa kukujibu
Bado li[po mkuu huwa linafanyika kama kawaida
Asante sana mkuu kwa kuniadd kweney list
BebiiMuongeze na Bebii Hajawahi Kukosekana tangu alipojiunga.[/QUOTE]
Bebii na Canta.....hao ni never miss,kwa hiyo list ieditiwe ili kuwaongeza
Canta wamo,agreed.
VipiMs mbona haonekani anga hizi?