MMU all Stars

MMU all Stars

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,831
Reaction score
13,797
Bila kuzingatia mpangilio wowote,members hawa kwa uchache wamekuwa hawakoseni kwenye MMU:Hongereni.

Asha Dii
Asprin
FaizyFoxy
Prett P.
Pdiddy
IGWE
Mentor
Baba-Enock
Husninyo
Vuvuzela
B'REAL
Babu Ataka Kusema
Maisha popote
Bishanga
Dena D.
Likwanda
Vivian
1st Lady
Lizzy (banned!)
Susy

Waweza ongezea kwa wale ni liowasahau.
 
Bila kuzingatia mpangilio wowote,members hawa kwa uchache wamekuwa hawakoseni kwenye MMU:Hongereni.

Asha Dii
Asprin
FaizyFoxy
Prett P.
Pdiddy
IGWE
Mentor
Baba-Enock
Husninyo
Vuvuzela
B'REAL
Babu Ataka Kusema
Maisha popote
Bishanga
Dena D.
Likwanda
Vivian
1st Lady
Lizzy (banned!)
Susy

Waweza ongezea kwa wale ni liowasahau.
mbona sioni jina lako mkuu,...
 
kila mtu ana list yake ya favourite members.....

Mkuu
active members unawajua kwa No. of post per day, na sio kutajana majina tu.
Ingekuwa hizi post zina divide kulinngana na sehemu uliyopost basi tungepata data nzuri zaidi.
Ukiangalia AshaDii ameingia miezi mi3 tu iliyopita lakin ana post 4,000 plus.
Cha kujiuliza ni je, ataweza kumaintain hiyo speed kwa miaka mingine mitano kama akina MM
 
Mkuu, unajua Jukwaa la siasa ni utata mtupu, yaani bora uku tunakutana na mawazo mapya.
Bila kuzingatia mpangilio wowote,members hawa kwa uchache wamekuwa hawakoseni kwenye MMU:Hongereni. Asha DiiAsprinFaizyFoxyPrett P.PdiddyIGWEMentorBaba-EnockHusninyoVuvuzelaB'REALBabu Ataka KusemaMaisha popoteBishangaDena D.LikwandaVivian1st LadyLizzy (banned!)SusyWaweza ongezea kwa wale ni liowasahau.
 
Yaani umenisahau ndugu yako wa Mbeya ambaye hushinda/kulala/kuamkia Jei Efu ?

teh teh teh teh

Uporoto
Uporoto 1..


Sjakusahau bana..
ila nilichukua watu waliotu
chini ya page na walio online kwa sasa
kwa bahati mbaya ulikuwa kule kwa siasa lolz..

Hujambo??
 
unawaibia wateja wako, ambao ndio waajiri wako wanakuweka town kwa sh 200 hizo. ama unabrashi viatu vya farasi?
Mimi simwibii mtu bana,..nimejiajiri....nabrash viatu hapo karoleni karibu na soweto garden.
 
Naheshimu mawazo yako!Siongezi neno coz this is according to u!
 
teh teh teh teh

Uporoto
Uporoto 1..


Sjakusahau bana..
ila nilichukua watu waliotu
chini ya page na walio online kwa sasa
kwa bahati mbaya ulikuwa kule kwa siasa lolz..

Hujambo??

afrodenzi,sijui nalikusahauje?
 
unawaibia wateja wako, ambao ndio waajiri wako wanakuweka town kwa sh 200 hizo. ama unabrashi viatu vya farasi?

usijali nawahudumia vizuri wateja wangu,...karibu sana kijiweni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom