MMU all Stars

Nimefanya utafiti members wengi kwenye Jukwaa la MMU, wana msongo wa mawazo wengi wao wameachwa na wapenzi wao!
Ndio wanaamua kujifariji na kujiliwaza huko na 25% wana mahusiano ya kimapenzi.
Hongereni sana Ma All Stars wa MMU

ha ha ha.... Naomba Report nione hizo field reports na analysis step by step....lol
 
Hamna utani hapo ni kweli kabiiiiisa umejibu post kwa kujiamini loooo
jf kuna mambo, mi ID mingi ya nini?
Hivi hii multiple ID huwa sioni maana yake,si ni sawa na kuiba hela yako mfuko wa kushoto na unaweka wa kulia.
 
Kama kuna mtu kanionea AshaDii naomba amwambie nampenda sana afu nimemmisi eti...........:popcorn:

Nimeshamwambia

mmmh..................

Thats my mshiki....... utanisindikiza kwenye mahari?

Msasha hilo la kuuliza.

umeshapeleka ''Maruva ya Kivesa''?

Mimi nitabeba nyama ya ''kisangu,,

aiseee, shimboni shafooooooo.....................

Hawatahitaji na 'kawari' kweli? Na "maru ya mlali?"

Kawari na maru ya mlali ni sawa.

Kitarasa hapana.

Hahahaha na hako kawari katiwe mseseve au?

mbona mbege hamuitaji hapa................
 
Kama kuna mtu kanionea AshaDii naomba amwambie nampenda sana afu nimemmisi eti...........:popcorn:

Shem ODM... Vivian wifi yangu (kwa Mentor) kanipigia simu.....

Imebidi nikimbie saaana kufika mahala hapa... and of course

your AshaDii anakupenda pia - and Oh! God... She misses you....lol
 
Shem ODM... Vivian wifi yangu (kwa Mentor) kanipigia simu.....

Imebidi nikimbie saaana kufika mahala hapa... and of course

your AshaDii anakupenda pia - and Oh! God... She misses you....lol
OMG....... ulikuwa wapi siku zote?..........khaa
Nakusoma hapa:"Whenever you are confronted with an Opponent. Conquer them with love."

though.......Am not your opponent .....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom