asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,830
- 5,028
marahaba and thank u very much na wwe pia karibu.Wakubwa shikamoo
Wadogo marahaba
wageni karibuni
wenyeji hamjambo?
MMU nimewa miss sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
marahaba and thank u very much na wwe pia karibu.Wakubwa shikamoo
Wadogo marahaba
wageni karibuni
wenyeji hamjambo?
MMU nimewa miss sana..
Wakubwa shikamoo
Wadogo marahaba
wageni karibuni
wenyeji hamjambo?
MMU nimewa miss sana..
Ahaaa ahaaa l.o.lkaribu tena galfriend,mcd u here!ulichoniagiza nilifanya kwa uaminifu ingawa hakunisumbua muda mwingi he was thinking of u.

Posted via Mobile Duh!!!! Umeshinda guest tokea ijumaa hadi leo bado uko huko tu
Niaje mazee wasongesha pande za wapi??

Acha fitna kijana

Niaje mazee wasongesha pande za wapi??
Hayaa bana angalia usije ukaenda kupiga chang'aa kule kwa owino

Niko kwa matatu nakwenda tao

Hayaa bana angalia usije ukaenda kupiga chang'aa kule kwa owino
Mwenyekiti upo...Welcome back AD....pole kwa chochote ulichokuwa unafanya...
Basi angalia isiwe kali kama ya kipindi kile hadi wale wakalazwa hosiptali bana

Chang'aa lazima ya kutolea rock siku hizi kufungua baa mpaka kumina moja jioni noma kweli
Basi angalia isiwe kali kama ya kipindi kile hadi wale wakalazwa hosiptali bana
Kama nakuona vile si unajua tenaMie sinywi za kibera mazee. Ha ha ha leo raha tupu AD ndani ya hse
Mambo AD,nilikwambia wale rugby players wa Fiji noma ona sasa hakukupa hata muda wa kuchungulia JF lol!Wakubwa shikamoo
Wadogo marahaba
wageni karibuni
wenyeji hamjambo?
MMU nimewa miss sana..
On my way toKama nakuona vile si unajua tena
Ahaaa ahaaaa Loliondo mzee lazima twende wote hommie unajua kule lazima twende crew ya uhakika ili tuvunje rekodi kabisaOn my way to
Loliondo hommie, we chelewa tu upako uishe utajibeba.
Kheeee Kheeee halafu wewe banaaaMambo AD,nilikwambia wale rugby players wa Fiji noma ona sasa hakukupa hata muda wa kuchungulia JF lol!