mmmmmhhhhhh

Hahaha! Kimey kwani una tatizo gani ? yule jamaa si anatibu umeme lol! nitaogopa kukupigia debe kwa Keren bana.
Huu ni unyanyapaa sasa komredi, nani kakwambia watu kama hao hawaitaji love? BTW mchungaji wa loliondo amekua jibu! Lol
 
Hivi huyo bwana hawezi kutibu tatizo la uhaba wa umeme l.o.l au Mungu hajamuonyesha hiyo dawa ya umeme
 
Huu ni unyanyapaa sasa komredi, nani kakwambia watu kama hao hawaitaji love? BTW mchungaji wa loliondo amekua jibu! Lol
Kamanda Keren bado springi chikeni inabidi utafute wa aina yako muishi kwa matumaini lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom