Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,544
- 12,242
Natumai nyote hamjambo wakubwa kwa wadogo, narudia tena na kilio changu kwa kizazi cha 1985-2005
Kwani nyie mna vichwa gani au nyie mmeumbwa kwa udongo gani? Sigara nyinyi bangi nyinyi mirungi nyinyi ugoro nyinyi pariki nyinyi, pombe kali nyinyi jamani shida nini vijana?
Asubuhi tu vijana mna chupa za energy kumbe, mmeweka
Ambiance
Jobo
Highlife
Kiwingu
Visungura
Shimha
Shujaa
Narudia tena bila serikali kuingilia viwanda bubu vya pombe kali vijana wanaisha kimya kimya