Kuna watz hapahapa hawajui kama kuna watanzania wanapitia maisha hayo, wanadhani ni stori tu za kupitisha siku. Ndo mana kuna watu wako mstari wa mbele kupigania haki za binadamu za kizazi cha kwanza badala ya kizazi cha pili.Hahaha dah afe kwa kubeba lumbesa akat watu wanabeba zege
Enzi iyo inaelekea chawa walisumbua sana tehHa ha ha, enzi zile tulikuwa na utaratibu wetu wa kutoana chawa kichwani, nikikutoa moja nakupiga konzi moja, nikiua mayai 2 nakupiga konzi moja.
Na ilikuwa ni lazima ukubali, hutaki hakuna kucheza na wenzio, baki nyumbani au hakikisha umenyolewa na huna chawa.
Hahaha kumbe ndo zenu eehAkina nani hao wanakopi swaga zetu wanyakyusa na wasukuma!!
Kuna cha bure cku izUnalipa au bure!
Wacha kunibania banaHahaha avatar ndo iyoiyo cjabadilisha mbona
Enzi iyo inaelekea chawa walisumbua sana teh
Labda species zao zmepoteaSiku hizi watu hawajui hata chawa anafananaje, wa kichwani au wa kwenye nguo.
BTW, mimi mwenyewe nina zaidi ya miaka 20 sijaona chawa wala funza, sijui hawa wadudu wameenda wapi.
Ulifuga nywele ukiwa mwanafunzi?Aisee nimekukumbuka mbali sana,
siji kusahau siku nilivyonyolewa kwa mkasi na mwalimu fulani hivi kisa nilifuga nywele.
Picha moja atachukua dk 10 kupiga, mara achuchumae huku unaambiwa pinda kulia mara kushoto,inamia mbele,mbona umenuna sanaKwa mtindo huo atakaa mpk uchi
Hahaha au unaambiwa sema chizzz ili meno yaonekanePicha moja atachukua dk 10 kupiga, mara achuchumae huku unaambiwa pinda kulia mara kushoto,inamia mbele,mbona umenuna sana
ahahahahahahaha duhNakumbuka kipindi fulani (pengine darasa la pili au la tatu hivi) nilikuwa na tatizo la chawa basi kunyolewa na walimu wa zamu hata viranja ilikuwa ni kawaida tu. Ila hii ya kupandiwa mabegani aisee hii ni mpya. Si ajabu Mshana Jr anahusika hapa!
Raha sana enzi zile mkuu. Dah!Ha ha ha, enzi zile tulikuwa na utaratibu wetu wa kutoana chawa kichwani, nikikutoa moja nakupiga konzi moja, nikiua mayai 2 nakupiga konzi moja.
Na ilikuwa ni lazima ukubali, hutaki hakuna kucheza na wenzio, baki nyumbani au hakikisha umenyolewa na huna chawa.
Ushauri: Achana na kufuga nywele.... fuga mbuzi au kuku!... angalau utaambulia supu!...Aisee nimekukumbuka mbali sana,
siji kusahau siku nilivyonyolewa kwa mkasi na mwalimu fulani hivi kisa nilifuga nywele.
Hahaha supu ya pwezaUshauri: Achana na kufuga nywele.... fuga mbuzi au kuku!... angalau utaambulia supu!...
Ao kama kina kuch kuch hotaheWapi hiyo, duh
Bible, unashangaa chawa? Hujawahi kuwasikia ama?ahahahahahahaha duh
Ulifuga nywele ukiwa mwanafunzi?
Kwani joining instructions ilitakaje?