Mmh!!

Aishah2016

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,225
2,482
1481216054036.jpg
 
Aisee nimekukumbuka mbali sana,
siji kusahau siku nilivyonyolewa kwa mkasi na mwalimu fulani hivi kisa nilifuga nywele.
Nakumbuka kipindi fulani (pengine darasa la pili au la tatu hivi) nilikuwa na tatizo la chawa basi kunyolewa na walimu wa zamu hata viranja ilikuwa ni kawaida tu. Ila hii ya kupandiwa mabegani aisee hii ni mpya. Si ajabu Mshana Jr anahusika hapa!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom