CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,242 Reaction score 41,779 Aug 21, 2024 #81 Lile Lishangazi Fatu na lenyewe lidangaji tu huyo siyo mumewe
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,869 Reaction score 32,715 Aug 21, 2024 #82 Ushimen said: Mkuu.... Sijazowea kukuona hivi, I'm sure ID yako itakua imedukuliwa..π€ Click to expand... Mkuu nami nimeshangaa, kuna mtu aliidukuwa. Kishanirudishia Mkuu π π π π π Ushimen
Ushimen said: Mkuu.... Sijazowea kukuona hivi, I'm sure ID yako itakua imedukuliwa..π€ Click to expand... Mkuu nami nimeshangaa, kuna mtu aliidukuwa. Kishanirudishia Mkuu π π π π π Ushimen
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,937 Reaction score 9,342 Aug 21, 2024 #83 cocastic said: Tena awekwe hadharani huyo baba, waja tumuonee. Aaaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... naskia ni kamishna! ukute hawa hawa akina DCI
cocastic said: Tena awekwe hadharani huyo baba, waja tumuonee. Aaaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... naskia ni kamishna! ukute hawa hawa akina DCI
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,337 Reaction score 20,986 Aug 21, 2024 #84 Utaambiwa kafariki mwaka juzi
Clayton Paul JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 2,258 Reaction score 4,784 Aug 21, 2024 #85 Utaambiwa na wewe unamtaka
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 13,107 Reaction score 30,529 Aug 21, 2024 #86 Bantu Lady said: anakit*mbesha Click to expand... Bantu Lady bhanaπ
Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 2,268 Reaction score 3,604 Aug 21, 2024 #87 Bantu Lady said: Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua. Click to expand... Huyo jamaa sio mume wa afande bali ni mchepuko tu. Afande mshangazi ni single lady mwenye wivu kwa mchepuko wake kuhamishia mahaba kwa kabinti. Mubaba hana ubaya kabisa, ye anawajibika tu kuwapelekea moto kina afande.
Bantu Lady said: Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua. Click to expand... Huyo jamaa sio mume wa afande bali ni mchepuko tu. Afande mshangazi ni single lady mwenye wivu kwa mchepuko wake kuhamishia mahaba kwa kabinti. Mubaba hana ubaya kabisa, ye anawajibika tu kuwapelekea moto kina afande.