CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 18,314
- 34,578
Lile Lishangazi Fatu na lenyewe lidangaji tu huyo siyo mumewe
Mkuu nami nimeshangaa, kuna mtu aliidukuwa. Kishanirudishia Mkuu 😅😅😅😅😅 UshimenMkuu....
Sijazowea kukuona hivi,
I'm sure ID yako itakua imedukuliwa..🤔
naskia ni kamishna! ukute hawa hawa akina DCITena awekwe hadharani huyo baba, waja tumuonee.
Aaaaah wee!!![]()
Bantu Lady bhana😀anakit*mbesha
Huyo jamaa sio mume wa afande bali ni mchepuko tu.Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.