Pole kwa niaba ya wapiga kura wako. May their souls R.I.PRIP. Majeruhi tayari wameshapelekwa hospitali. Nilizungumza na Kamanda wa Polisi Kinondoni mara baada ya ajali kuomba wapeleke kwa haraka magari ya kuinulia vitu vizito. Tayari Crane imefika eneo la tukio na container husika linaondolewa. Taarifa zaidi badaaye
RIP, poleni wafiwa.
Mimi ningeshauri organisations kama hii ya Legal Human Rights wangesaidia familia za waliopoteza maisha kufungua keshi dhidi ya @)mmiliki/wamiliki wa magari hayo ya mankotena, and b) Idara husika na utoaji wa vibali pamoja na wanausalama. Nasema hivi kwa sababu mara nyingi tumeona makontena haya yanakiuka taratibu za usalama. Sasa unless wakubwa hawa wawajibishwe tutazikana kila leo.
Again, RIP na Poleni wafiwa.
tunawaombea wote waliofikwa na msiba, Mungu awape nguvu na rehema.
Chanzo ni daladala coaster iliingia road ghafla, mwenye roli alikuwa anaikwepa daladal iloingia road ghafla, trailer liliyumba na kuipiga pass noah wakati wa jitihada hizo ''swivel pin'' ya loli ilikatika na kichwa kikaendelea na safari kwa ''20metres'' hivi, trailer lenye 40FC ilikosa ''control'' na kuelekea kushoto ikagonga mwamba na kupinduka upande ikawalali watu 3. nadhani kweli dereva wa noah hakuwa makini na mwendo kasi wa mwenye loli.
Kifo kikitokea sisi tuliohai inatukumbusha kufanya mema.TUANZE NA SIMU CHINI USUKANI MKONONI AU SIMU MKONONI ENGINE OFF AN GARI PEMBENI.
RIP. Majeruhi tayari wameshapelekwa hospitali. Nilizungumza na Kamanda wa Polisi Kinondoni mara baada ya ajali kuomba wapeleke kwa haraka magari ya kuinulia vitu vizito. Tayari Crane imefika eneo la tukio na container husika linaondolewa. Taarifa zaidi badaaye