Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Jinamizi letu........nayapenda sana haya mabasi.......ila yana rekodi za ajali MBAYA SANA
 
Gari ilikuwa kwenye mwendo mkali, tairi ya mbele ikapasuka, ikaruka mtaro, ikeanda kugonga nyumba ndipo gari hilo likasimama.
 
Duh!
Naona faini ya 30k haijasaidia kama magamba wanavotaka kutuaminisha
 
kumeanza tena......jamani.......lilikuwa linatoka wapi kwenda wapi mkuu?
 
Pamoja na kuwapa pole wale wote waliojeruhiwa ukweli ni kuwa magari ya hii kampuni ya Mohamed Trans yameuwa watanzania wengi sana tangu hii kampuni ianzishwe. Japo ajali ni ajali nashauri anayeweza kujiepusha asipande haya magari na afanye hivyo maana ni magari ya hatari sana kwa maisha yetu
 
mmmhhhhhhhh!
Kweli AJALI inakinga kwa MTAZAMO WAKO!
 
Mungu awalaze mahali pema peponi marehemu wote...
na majeruhi wajaliwe kupona haraka.
hivi hizi ajali mpaka lini?
 
Hapo singida.....limeshauwa sana na ni singida mara kwa mara...
 
Kuna ajali mbaya imetokea eneo la Buguruni Al Hamza. Bus(Dcm) la Mbagala likiwa linaelekea Ubungo, limepigwa na tela la lori na kutumbukia mtaroni. Abiria wengi wameumia na wanakimbizwa hospital. Nimeshuhudia maiti wawili wakiondolewa eneo la tukio.
 
Poleni wafiwa.na pia majeruhi mpone haraka hii ndiyo Tanzania yetu ajali si ajali tena imekuwa kawaida jana Mohamed Trans imechinja watu.Naona nchi inaendeshwa kwa kutoa akfara ya damu za watu.Who knows!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ni habari mbaya kwa kweli, nawaombea hao majeruhi wapate msaada wa haraka kunusuru uhai wao.
 
Back
Top Bottom