Laura Mkaju
Senior Member
- Jan 31, 2011
- 194
- 42
Mie ndio usafiri wangu NAMBARI ONE lakini sasa naona umefika muda wa kutafuta mbadala. Poleni sana abiria.
mungu awalaze mahali pema peponi marehemu wote...
Na majeruhi wajaliwe kupona haraka.
Hivi hizi ajali mpaka lini?
Tatizo DCM hayana breki! Anyway naona siku hizi ajali kila siku hazingoji december!Poleni majeruhi ugueni pole. oKuna ajali mbaya imetokea eneo la Buguruni Al Hamza. Bus(Dcm) la Mbagala likiwa linaelekea Ubungo, limepigwa na tela la lori na kutumbukia mtaroni. Abiria wengi wameumia na wanakimbizwa hospital. Nimeshuhudia maiti wawili wakiondolewa eneo la tukio.
Poleni sana majeruhi na kama kuna wafiwa Mungu azirehemu roho zao