Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

ndg zangu basi la sumry limepata ajali mbaya eneo la same ,bas limegawanyika vpande viwil.
 
Picha, idadi ya vifo, majeruhi na chanzo cha ajali kama hutojali
 
Jamani hizi ajali za Sumry sasa zimezidi. Ikibidi Kamanda Mpinga aanze kutoa takwimu za ajali kwa kila kampuni kwa mwaka ili tujue mabasi gani hayatatufikisha salama, kama ilivyo Sumry siku hizi. Halafu si inasemekana Mh Mtoto wa mkulima ana hisa humo...
 
Duuh sumry haya ma bus vipi?mbona hatujasikia ma bus ya Dar exp kupata ajali mara kwa mara?
 
Duuu!kile kifaa cha kutrack hakijafanya kazi?ilitakiwa kampuni ya hiko kifaa itoe taarifa ya ajari mapema kwani wao wanauona mwenendo wa gari.
 
Wamekufa wangapi, wana CHADEMA wamo humo. Nadhani hiyo ndiyo ndiyo habari
 
Back
Top Bottom