Mlokole aliyeifedhehesha weekend yangu...

Mlokole aliyeifedhehesha weekend yangu...

...hehehe...hivi embu assume kwamba anachokiongea ni kweli hivi ameonyeshwa...afu ndo anasubiri ndoa ivunjike mkuu achukue jiko lake....tehe tehe...just imagination!!! pole sana...
 
...hehehe...hivi embu assume kwamba anachokiongea ni kweli hivi ameonyeshwa...afu ndo anasubiri ndoa ivunjike mkuu achukue jiko lake....tehe tehe...just imagination!!! pole sana...


HAHAHA sijui nini acha utani wa hivo dah usianze kunitisha
 
Mmh shetani nae ameingia makanisani kutumaliza huu ulokole ni mwisho.pole dadangu

Yaani Asnam sitaki hata kumuona huyo mlokole unaweza kutana na mpinga imani:nono:
 
hehehe Dah!
Pole sana mke wa rais na hongera sana kwa kukumbukwa na ufalme wa mbinguni
 
ni mtu anayekufahamu vizuri tu,
lengo lake akugombanishe na mumeo,
shindwe tena alegee.
 
lol lol lol huyo mlokole kiboko lol.
pole mwaya kwa kuharibiwa wakati wako wa kufurahia mzee kurudi,kama akitokea kupiga tena mfokee kwa sauti ya kumaanisha asije akakuletea shida.
 
usiwalaumu sana
mi nawajua watu wengi ambao ni wagonjwa wa akili
wamehamia kwenye ulokole...
pengine mgonjwa....
 
Umemkopesha! Ungemjibu arudie maombi manake mume anaebip Mungu hawezi kukupatia kamwe manake japo uliolewa enzi hakuna mobile phone, ulishamuwahi Mungu kuwa hutaki wanaobip kwa ttcl. Kuna bibi mmoja akilewa anasemaga bladi fekeni.
 
Mlokole au msanii huyo...ulokole gani unaosema vunja ndoa ya mtu, halafu ikishavunjika utaozeshwa tena kanisa gani. Kaa chonjo, atakwambia muue mumeo ili ndoa ipitie kanisani ipate baraka za bwana.

Akipiga tena mwambie akajaribu Oscar Award anaweza pata!
 
Hakuna kitu kama icho,anasukumwa na hisia,akiongozwa na pepo.Roho wa Mungu,angewapa wote utayari,.Roho wa Mungu,hujenga na habomoi,Roho wa Mungu hakurupuki.
So bwana uyo..AJIPANGE!!
 
Back
Top Bottom