Mlokole aliyeifedhehesha weekend yangu...

Mlokole au msanii huyo...ulokole gani unaosema vunja ndoa ya mtu, halafu ikishavunjika utaozeshwa tena kanisa gani. Kaa chonjo, atakwambia muue mumeo ili ndoa ipitie kanisani ipate baraka za bwana.

Akipiga tena mwambie akajaribu Oscar Award anaweza pata!

hahahahaha Asante MadameX

mimi penda Avatar yako kila nikioona nasmile
 
Last edited by a moderator:
Umemkopesha! Ungemjibu arudie maombi manake mume anaebip Mungu hawezi kukupatia kamwe manake japo uliolewa enzi hakuna mobile phone, ulishamuwahi Mungu kuwa hutaki wanaobip kwa ttcl. Kuna bibi mmoja akilewa anasemaga bladi fekeni.
King;asti unajua kuna mambo yanatokea katika mazingira ambayo mtu hukutarajia
Unakuwa umejawa na furaha ghafla linaibuka la kushangaza ...kweli hii ni bladi fekeni
 
Hakuna kitu kama icho,anasukumwa na hisia,akiongozwa na pepo.Roho wa Mungu,angewapa wote utayari,.Roho wa Mungu,hujenga na habomoi,Roho wa Mungu hakurupuki.
So bwana uyo..AJIPANGE!!
Swts naona hajarudia tena sijui atakuwa kwenye maombi ya awamu ya pili?
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaaaaaaaa!

Pole FL,
Huyo lzm atakua alilewa sana na usiku huo alikua anaota!
Asitake kukuletea balaa bure kwa my husband wako ebo!!
Ulokole gani wa ivo lol!

penye red: Na wewe sio mwema ka mume wa mwenzio, una mwita MY
 
acha tu my dear maisha haya mimi baba mimi mama nitapumua wapi mimi? nimeumbwa mateso mimi


Haha Smile jamani sio mateso hayo mama
siku hizi hatutaki kusubiri kuletewa tunafight kama wao sasa..
Mwenyewe hapa mkoloni ananitumia ipasavyo hakuna mchezo
 
Huyo hana roho mtakatifu ila ana ROHO MTAKAVITU! Beware of him au umuweke kwenye black list ya kwenye simu yako ili akikupigia asikupate.. Pole sana dadangu!
 
Haha Smile jamani sio mateso hayo mama
siku hizi hatutaki kusubiri kuletewa tunafight kama wao sasa..
Mwenyewe hapa mkoloni ananitumia ipasavyo hakuna mchezo
wenyewe wanasubiri kuletewa ....... eti haki sawa ..
ila watasubiri sana...... sichuniki ...
 
Mie sishabikii Wala Siko upande wowote Lakini nadhani Vitabu vya mwenyezi Mungu vinasema hakuna jambo mwenyezi Mungu Limshindalo.. !!! Na watu Kama Hao huwa wababe haswa ukimwambia my husband wangu Yupo njoo hom utuelezee mafunuo yako wote wawili jamaa fasta anatia maguu live Na anafunguka mbele yenu.. Kama Unadhani joke jaribu uone.. But Kama ni mwendawazimu nyege zimemparamia baada ya kukuona njiani umefungashia mwanawane umeshibazako michipsi Basi hawezi kuja kukuface Na jiko lako ..
 
Hili neno 'MLOKOLE' lina maana nyingi sana! Hata waliochanganyikiwa kimaisha na kujisogeza karibu na majengo ya makanisa wanaitwa walokole!
 
Omba appointment nae halafu umfungulie hapo hapo la sivyo ataendelea kukusumbua tu...... Jaribu kutafuta muda uonane nae......
 
Inawezekana kaoteshwa kweli
Inawezekana ndoa yako itavunjika kweli
Inawezekana atakuwa mume wako baadae kweli
Inawezekana namba yako kapewa na Roho kweli
Inawezekana.......

Hata hivyo FL1 huoni una bahati kwa kuwa na backup?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom