FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Mbona yapo kama Ma DCM ya mbagala yaliyopigwa rangi na kufanyiwa maboresho ndani kwa ‘Bonge seat cover’?
Umesahau walivyokuwa wanaupamba mradi wa mabasi yaendayo kasi "Mwendokasi".Tatizo sio mabehewa ya zamani ila ni vile wahusika walivyojigamba na kuonyesha picha za hiyo Train itakavyokuwa tofauti na Muonekano halisi, hii nailinganisha na zile picha za Ubungo flyover picha zilizokuwa zinaonyeshwa ni Interchange ya nguvu.
Amesahau kueditMlidanganya mkadanganya mmedanganya na bado mnadanganya, hivi huu ni mwonekano wa ndani ya namna gani?
View attachment 2428640
Walitumia picha labda ilikuwa kipindi cha kampeinTatizo sio mabehewa ya zamani ila ni vile wahusika walivyojigamba na kuonyesha picha za hiyo Train itakavyokuwa tofauti na Muonekano halisi, hii nailinganisha na zile picha za Ubungo flyover picha zilizokuwa zinaonyeshwa ni Interchange ya nguvu.
Wadau mnapiga spana aisee 😂Sasa hayo mabehewa Yana tofauti gani na yale mabasi ya zamani ya UDA!?...au kwa sababu yamepigwa rangi kwa kutumia compressor na kupachikwa viti vya YUTONG ?!...nadiriki kusema hayo mabehewa hayajafikia ata ubora wa zile Steam Trains walizokua wanatumia wakoloni wetu wakati wanatutawala
Taraza wana mabehewa ya hiyo yanaiitwa superseat yaan tulicho ahidiwa na kilicho kuja city viwili tofauti kabisaHata mi nashangaaa, Yani siti kama za ngorika ndo anataka watu waombe radhi
Wa ndani wa reliMlidanganya mkadanganya mmedanganya na bado mnadanganya, hivi huu ni mwonekano wa ndani ya namna gani?
View attachment 2428640
Germany wanatumia kama moja ya kivuko cha kitalii kwenye moja ya mito yao. Ukitaka kujua zaidi unaenda makumbusho yao kutazama na kujifunza!Kuna nchi ukienda utayakuta makumbusho.
Umekataa kuzeeka kabisa?...hawa wazee wa kizazi kipya kazi kweli kweli...Tuambiwe tuu ukweli, Watanzania hatuna tatizo kabisa na kutumia mitumba, tumezoea!. Watu Bongo wanavaa nguo za mitumba na wengine hata naniliu za mitumba!, itakuwa mabehewa!. Sisi wengine hatulalamiki bali tunataka....
Cha maana hapo mpaka watu waombe radhi ni kipi?Ni ustaarabu kuomba radhi pale tunapokosea, lakini pia ni uungwana kuomba radhi pale tunapokosea wenzetu!
Tuliaminishwa humu kwamba mabehewa yanayopokelewa bandarini Dar es Salaam, ni ya zamani na pia siyo kutoka Korea kama tulivyokuwa tumeahidiwa na serikali ya JMT.
Tulikuwa tunataka kuonyeshwa ubovu mwingine wa JPM na wenye malengo yao!
Sasa tumeona "Uhalisia"ni tofauti na "Uzushi".
View attachment 2428630View attachment 2428631View attachment 2428632View attachment 2428633View attachment 2428634View attachment 2428635View attachment 2428636View attachment 2428637
Hata yangekuwa mapya wasukuma, wanyamwezi na wagogo wangedumu nayo muda gani?Hata mi nashangaaa, Yani siti kama za ngorika ndo anataka watu waombe radhi


