Mliyodhihaki mabehewa mapya TRC ombeni radhi!

Wenzetu haya nimesikia 2023 wanataka wabadilishe walete mengine na washaanza baadhi ya mabehewa kuyapeleka chuma chakavu sisi ndio tunaagiza na hayapo kwenye kiwango hiki...

Nilipopanda Basi zile Irzar kutoka Harare hadi Durban, tv safi, siti unanyoosha miguu, inanesanesa tu, tukapewa mayai na chai pale, hapo ni basi ndio nikajua south africa ndio maana hua hawapendi kuitwa waafrika wala kuhusishwa na waafrika, tulivofika B Bridge ikabidi niwaze sana hawa mbona barabara zao bora kabisa hivi, nilipata hasira basi tu hadi leo ujue viongozi wa nchi kama Tanzania wanafanya vitu vyote below standard na kikubwa wanawaza 10% , ndio maana hulipua kila kitu
 
Kwenye simu huwa tunaita refurbished... 😂 😂

Hizo nahisi wamerekebissha za zamani, wametia urembo, wameleta.

Mabehewa watununulie used, ila vx za ni NYEPE(Mpya)
Aisee,
Mkuu unapinga kwa kuhisi na sio kwa kujua?
 
Nilipopanda Basi zile Irzar kutoka Harare hadi Durban, tv safi, siti unanyoosha miguu, inanesanesa tu, tukapewa mayai na chai pale, hapo ni basi ndio nikajua south africa ndio maana hua hawapendi kuitwa waafrika wala kuhusishwa na waafrika, tulivofika B Bridge ikabidi niwaze sana hawa mbona barabara zao bora kabisa hivi, nilipata hasira basi tu hadi leo ujue viongozi wa nchi kama Tanzania wanafanya vitu vyote below standard na kikubwa wanawaza 10% , ndio maana hulipua kila kitu
Uko sahihi,,barabara Nyingi ambazo Serikali imezijenga Zipo chin ya kiwango..Kasulu to Kigoma hakuna barabara Pale,,Tukidhaminiwa na wazungu wanafanya Vizuri Lakini tukiwapa wabongo kila kitu tinaharibu.Tunahitaji Maombi.
 
Ni ustaarabu Kuomba Radhi,pale tunapokosea!

Lakini pia ni Uungwana kuomba radhi pale tunapokosea wenzetu!

Tuliaminishwa humu kwamba mabehewa yanayopokelewa Bandarini Dar es Salaam, ni ya zamani na pia sio kutoka Korea kama tulivyokuwa tumahidiwa na serikali ya JMT.

Tulikuwa tunataka kuonyeshwa ubovu mwingine wa JPM na wenye malengo yao!

Sasa tumeona "Uhalisia"ni tofauti na "Uzushi"View attachment 2428630View attachment 2428631View attachment 2428632View attachment 2428633View attachment 2428634View attachment 2428635View attachment 2428636View attachment 2428637
Uziri wa mwanamke sio sura!
 
Tutafika huko
 
Attachments

  • Screenshot_20221126_192708.jpg
    Screenshot_20221126_192708.jpg
    93.9 KB · Views: 9
Ni ustaarabu Kuomba Radhi,pale tunapokosea!

Lakini pia ni Uungwana kuomba radhi pale tunapokosea wenzetu!

Tuliaminishwa humu kwamba mabehewa yanayopokelewa Bandarini Dar es Salaam, ni ya zamani na pia sio kutoka Korea kama tulivyokuwa tumahidiwa na serikali ya JMT.

Tulikuwa tunataka kuonyeshwa ubovu mwingine wa JPM na wenye malengo yao!

Sasa tumeona "Uhalisia"ni tofauti na "Uzushi"View attachment 2428630View attachment 2428631View attachment 2428632View attachment 2428633View attachment 2428634View attachment 2428635View attachment 2428636View attachment 2428637
Mwambie Bashiru Ally Kakurwa aombe radhi kwa niaba yetu.
 
Hayo unayaita mabehewa kabisa, kwa uzuri na kiwango kipi.
Ila majitu mengine yanatia aibu
 
Nilipopanda Basi zile Irzar kutoka Harare hadi Durban, tv safi, siti unanyoosha miguu, inanesanesa tu, tukapewa mayai na chai pale, hapo ni basi ndio nikajua south africa ndio maana hua hawapendi kuitwa waafrika wala kuhusishwa na waafrika, tulivofika B Bridge ikabidi niwaze sana hawa mbona barabara zao bora kabisa hivi, nilipata hasira basi tu hadi leo ujue viongozi wa nchi kama Tanzania wanafanya vitu vyote below standard na kikubwa wanawaza 10% , ndio maana hulipua kila kitu
Wale wana bus 5 star Greyhound mwezi wa 12 December time bei ya kutoka Pretoria mpaka Cape town huwa inazidi kidogo ndege na linajaa huwezi kupata tiketi kipindi hicho labda Greyhound ya kawaida kwenye usafiri wao ni starehe sio adhabu...
 
Humukwenye traini wasukumawasipande waleniwachanawashamba wataarubumabehewa
 
Mkumbuke wameshaeleza treni yetu sio ile ya km200/H , wakati mwanzo walisema ikikamilika unaweza kutoka mwanza na Dar ukafanya mambo yako na kurudi Mwanza, Ajabu haohao walionadi kua itakua km 200 kwa saa wameikataa tena hapo itakua afadhali upande Abood tu kuliko treni hiyo
 
Back
Top Bottom