Duuh! Nimeshaelewa, kumbe na wao kwa wao?:israel:Taarifa zilizopo ni kuwa Bomu limelipuliwa (hand thrown Grenade) baada ya mhadhara wa ndani ya msikiti huko Unguja na Ndg yetu kijana Muhammad mkombolaguha amefariki dunia, sheikh Abulfadh'li Qassim mlengwa wa shambulio amejeruhiwa mkono na mguu na yu wapata matibabu hospitalini na hali yake sio mbaya sana.
Aliyefariki ni mwanafunzi wa sheikh ktk Markaz iliyopo Tanga, Abulfadh'li ni miongoni mwa masheikh wanaowindwa sana na wanaharakati, mashia na makhawarij wanaopinga msimamo wake ulio sahihi wa kukataza maandamano, kupinga jihad bila ya shurutwi za kisheria, kupinga kukufurisha watu bila ya sababu za kisharia, kutukana na kulaani viongozi waliokabidhiwa mamlaka. Ni sheikh pekee na wa aina yake hapa Tz alie na low profile lakini akigusa mioyo na kubadilisha misimamo mingi ya kijazba na iliyokosa usuluub na ilm ya kisheria.
Allaah amponye sheikh na ampokee Marehemu wetu ktk pepo yake tukufu firdaous. Inna lillaah wainna ilaih rajioun.
Hayo ndio machache yaliyotufikia kutoka Znz kupitia mitandao ya kijamii
hivi ikitokea muungano ukavunjika, usalama wa kidini baina ya waislamu na wakristo utakuwaje?
najua tu kwa hypothesis, hili tukio litahisiwa kuhusiana na mauaji ya viongozi wa kikristo na uchomaji wa makanisa.
hizi taarifa zakweli?
Sometimes huwa nafikiria labda ni utoto but nadhani Watanzania tuna tatizo. Issues zinazohusu maisha na uhai wa Wananchi zikifika hapa jukwaani watu wanajadili kishabiki, matusi, kulaumu watu na mamlaka hata kama hazihusiki... there is a problem somewhere.
Mi nadhani kama ni minyukano ya kisiasa au kidini zipo topics muafaka nyingi tu za kufanya hivyo.
Tuwe wepesi kuwapuuza watu wanaotaka kupotosha mada za kijamii kama hizi kwa kutojibizana nao. But only matured can pick this
Jamani mnaumia kichwa burena DrWHO.
Huyu DrWHO anaishi UK kama mkimbizi ama mla mapesa yetu .Kama anabisha aseme halafu mimi nitatoa nyeti zaidi akiendelea kukataa .Je hukai UK wewe ? Ndiyo maana hana uchungu na lolote .
[SUP]43 [/SUP]Mmesikia kuwa watu zamani walikuwa wakisema, Umpende jirani yako na umchukie adui yako. [SUP]44 [/SUP]Lakini mimi ninawaambia, wapendeni maadui zenu na waombeeni wanaowatesa, [SUP]45 [/SUP]ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu waovu na watu wema; na pia huleta mvua kwa wenye haki na wasio haki. [SUP]46 [/SUP]Kama mkiwapenda wanaowapenda tu, mtapata thawabu gani? Hata wenye dhambi hufanyiana hivyo. [SUP]47 [/SUP]Na kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, mnafanya nini zaidi ya wengine? Hata watu wa mataifa wasiomjua Mungu, hufanya hivyo. [SUP]48 [/SUP]Kwa hiyo inawapasa ninyi muwe wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
Zenji 99% wafuasi wa S.A.W. Na hiyo ilisemwa na mtoto wa mkulima bungeni. Sasa na wao pia Ismail ndugu yao na bible ilisema mikono yake itakuwa juu ya wenzake. Wacha wauane wamezidi ubaguzi. Lakini jihad inaruhusu.
Habari ni ya kweli ila ni jana na humu kuna uzi unaoongelea hilo,Webo, ni vema ukajiridhisha kwa kupata taarifa yeye uhakika kwanza kabla ya kuanzisha thread mkuu...wanasema kama hujafanya utafiti, huna haki ya kuzungumza! Pls elewa humu ndani wengi wetu tunapategemea sana kwa kupata taarifa za kina ambazo hazijawa manipulated!!!