Mpira + dhambi havimtukuzi Mungu;hvyo natoa pole kwa wapita njia tu waliojeruhiwa! wengne ni malipo yao!
Very possible.
W. J. Malecela- Jamani mbona nipo hapa ndio kwanza tumetoka mpirani na sijasikia kitu mkuu au?
Le Mutuz System
Naona wadau badala ya kuwaombea kwa Mola ndugu zetu na kushauriana vipi tutawasadia kwa hali na mali wengine mnaleta masihara kwenye mambo muhimu....
Ila hii inatisha itabidi watu tuanze kuchunguzana na kulindana tukiwa popote kwenye mkusanyiko.
Great thinking. Ukweli ndio huo mkuu. Lengo ni kuhamisha akili za watu kutoka Dodoma ikizingatiwa kuwa kesho watu walikuwa wanasubiri kwa hamu kumsikiliza Tundu Lissu.
Asante mkuu.
HAYA MABOMU YANAYORINDIMA Arusha siku kwa siku ni ya kuitakia mema mji wa Atown?
Mtakumbuka mabomu 2010(ubunge Lema akashinda tu),mabomu kanisani watu wakafa,mabomu (udiwani Kessy akashinda tu) na leo tena hotelini/bar watu hawana miguu!!
Arusha kunani?
hilil bomu la jana, (mtk bar)
a)la kisiasa?
b)kiuchumi-kuharibiana biashara?
c)au ni la kiharamia?