LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,497
- 3,388
Haya mambo tulikuwa taratibu tumezoea yakitokea kwa wenzetu, na sasa tunayashuhudia.
Mungu atunusuru na matukio haya
Mkuu! Nakwambia wee acha tuu!
Haya mambo tulikuwa taratibu tumezoea yakitokea kwa wenzetu, na sasa tunayashuhudia.
Mungu atunusuru na matukio haya
Naona wadau badala ya kuwaombea kwa Mola ndugu zetu na kushauriana vipi tutawasadia kwa hali na mali wengine mnaleta masihara kwenye mambo muhimu....
Ila hii inatisha itabidi watu tuanze kuchunguzana na kulindana tukiwa popote kwenye mkusanyiko.
Nimekumbuka utabiri wa TB JOSHUA juu ya club east africa kulipuliwa na raisi africa kutekwa.
Wewe bana nenda kwenye mlipuko ututumie picha...shirikiana na le mutuz yuko hapo mt meru hotel anakaa room yenye gharama sawa na kodi ya nyumba ya mwaka mzima hapa dar...plz tafadhali zingatia maelekezo haya
....
Wito kwa vijana wote Arusha !!!
Nawaomba sana tujitokeze haraka Mt Meru Hospital kuchangia damu kwa hawa ndugu zetu
Asanteni sana
Atakuwa kakimbilia kujificha Iramba!Yule jamaa wa Iramba yuko wapi
Wana diverge attention kutoka kwenye katiba mpya...
Sio kile chama kweli cha CHAGGADEMA?