Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

watu wote wameshatawanyika...wikiendi Arusha imevurugika....



Mkuu wangu yani wacha tu! Yani kuna Ndugu yangu amekumbana na majanga haya. Tumwombeeni sana Ndugu yangu Masudi a.k.a SUDI aliyeumia sana. Na mpaka nampeleka theater yani ni majanga full.
Ameumia sana tena sana!
Sikupata hata nafasi ya kuingia humu jukwaani jamani ndiyo muda huu natoka hapa Mount Meru hosptal.
 
Mkuu wangu yani wacha tu! Yani kuna Ndugu yangu amekumbana na majanga haya. Tumwombeeni sana Ndugu yangu Masudi a.k.a SUDI aliyeumia sana. Na mpaka nampeleka theater yani ni majanga full.
Ameumia sana tena sana!
Sikupata hata nafasi ya kuingia humu jukwaani jamani ndiyo muda huu natoka hapa Mount Meru hosptal.
Pole sana.
 
Mkuu wangu yani wacha tu! Yani kuna Ndugu yangu amekumbana na majanga haya. Tumwombeeni sana Ndugu yangu Masudi a.k.a SUDI aliyeumia sana. Na mpaka nampeleka theater yani ni majanga full.
Ameumia sana tena sana!
Sikupata hata nafasi ya kuingia humu jukwaani jamani ndiyo muda huu natoka hapa Mount Meru hosptal.

....LiverpoolFC poleni sana nimesikitika sana Mkuu !!!!
 
Pole sana.


Asante sana Ritz.......yani nimeachana na jamaa ila katika dakika kadha napigiwa simu jamaa hoi!
Majanga A town soo sasa! Majeruhi wameumia sana!
 
Last edited by a moderator:
Hii bar c ndo inaitwa makalio-- bar, na huwa panajaa sana siku ya mechi hasa leo palifurika maana mwenye bar ni mdau mkubwa wa barcelona, na leo barcelona ilicheza na man city, so cjui lakini inawezekena japo nakaa karibu na cjasikia hizo habari.

Wewe ni mshabiki wa soka nambari wani! Mimi nilikuwa sijuagi Kama leo ni barca vs man city


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Natoka zangu Moshi kula weekend na mchuchu....nipo kwenye Costa kama saa 1:15 usiku....naishi Njiro ila ilinilazimu kushuka mianzini maana haja ndogo ilikuwa imenishika sana......nikashuka mianzini karibu na shelii..nikatafuta chocho nikamaliza.

maelezo meeeengi kama una andika insha kumbe mambo yakunya vichochoroni uchafuzi wa mazingira....nilifikiri unaelezea tukio kumbe pumba tu.
 
Isije kuwa ni kuhamisha attention ya kesho, maana nikikumbuka kipindi kile cha mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha na jinsi ustadi ulivyotumika kumleta hewani babu wa Loliondo sina hamu na hii system ya Msafiri.

Ndiyo haswa.Watu wale wale kwa akili ile ile.ccm bwana burruuuuuuudaaani!!!!!!!
Lakini Kesho runingani kama kawa TL anaendeleza libeneke hadi kieleweke
 
....

Wito kwa vijana wote Arusha !!!

Nawaomba sana tujitokeze haraka Mt Meru Hospital kuchangia damu kwa hawa ndugu zetu


Asanteni sana
 
polen xana ndg zng wa arusha,nafkr kuna vkund viov vnataka kuharbu jiji letu."ukpata full information tupe feedback mkuu"
 
Huyu hapa. Mgomvi ka nini!

ahahahahaha, huyu jamaa hiyo skafu nivile haina mdomo ingeongea mengi. na tunapoelekea kila nchi itakua na bendera yake sijui hatavaa ya aina gani?
 
mlipuko mkubwa umetokea leo majira ya saa 1.30 usiku katika baa maarufu ya arusha night park"------ bar" iliyopo eneo la mianzini mjini arusha.taarifa za awali zinaeleza kuwa mlipuko huo unatokana na bomu lililotengwa katika eneo la bar hiyo na kujeruhi watu zaidi ya 20 waliokuwa wakiangalia mchezo wampira wa miguu ligi kuu ya engalnd kati ya chalsea na swansea. majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya dk. mohamed na mount meru. mashuhuda wanaeleza kuwa kuna baadhi ya majeruhi wamekatika viungo kama miguu nakadhalika.hili ni tukio la tatu mjini arusha bomu kurushwa na kutegwa katika maeneo ya mikusanyiko ya watu ,a hadi sasa polisi hawajawahi kukamata wahusika wa matukio yote matatu.
 
Naona wadau badala ya kuwaombea kwa Mola ndugu zetu na kushauriana vipi tutawasadia kwa hali na mali wengine mnaleta masihara kwenye mambo muhimu....

Ila hii inatisha itabidi watu tuanze kuchunguzana na kulindana tukiwa popote kwenye mkusanyiko.
 
Back
Top Bottom