pmwasyoke
Platinum Member
- May 27, 2010
- 5,001
- 3,824
Mpira + dhambi havimtukuzi Mungu;hvyo natoa pole kwa wapita njia tu waliojeruhiwa! wengne ni malipo yao!
Mbona Yesu aliwaponya wenye dhambi? Na nani kakuambia mpira haumtukuzi Mungu? Elimu yako ya dini ni tenge.