Warangi na wamissionary wengine wa namna hiyo wanaanza tekeleza mikakati liyojaaa ktk mchi hii kila idara ya vimemo..wameanza pale kwa vile..kuna umaarufu wa akina dada wenye makalio makubwa....Kwa mara ya kwanza fika pale nilikuwa nashangazwa na wahudumu....nikamuuliza chalii wa AR mmoja vipi..hao mabinti walifanyiwa interview maalumu...wakajibu..hujui hii baar nickname yake nini?inatwa M..a..t..a..k..o. bar ni wazi wale wapenda kwenda ktk GANGSTAR PARADISE kwenye mgao wa Mabikra 72 na wanaume warembo wenye macho km Lulu....wameonyesha obsession yao ya hao wanawake....wanaona wivu sana wakiwepo duniani kwani ..MAKAFIRI NAO WATAFAIDI MAPEMA KULIKO WAO..............Huu ugaidi wa CCM utapokewa mapema sana na wapenda pepo DanguroSio kile chama kweli cha CHAGGADEMA?
Asante PK kwa kuendelea kuifanya jf, "be the first to know!".
Endelea kufuatilia tukio hilo, haswa chanzo cha mlipuko na matokeo!.
Usiwajali watakaokulaumu kwa nini umeleta habari nusu, hao wamezoea kula chakula kikiwa kimeishaiva, na kupakuliwa kwenye sahani, wao kazi yao ni kula tuu, sisi ambao ni wapishi, hata chakula kabla hakijaiva, huonja kwanza, hivyo tunakushukuru kwa kutuonjesha, tunakisubiri kiive utupakulie tule!.
Pasco
Vipi kuhusu lile la kwanza lililolipuka ktk harambee ra RCMpira + dhambi havimtukuzi Mungu;hvyo natoa pole kwa wapita njia tu waliojeruhiwa! wengne ni malipo yao!
💣💣💣 Mbona hamsemi ugaidi au mpaka miripuko hiyo itokezee sehemu nyengine ndio iwe ugaidi 💣💣💣💣💣💣
Mpira + dhambi havimtukuzi Mungu;hvyo natoa pole kwa wapita njia tu waliojeruhiwa! wengne ni malipo yao!
unasemaa? Hadi mpira daah, mafundisho mengine mmh
Mpira + dhambi havimtukuzi Mungu;hvyo natoa pole kwa wapita njia tu waliojeruhiwa! wengne ni malipo yao!
Poleni sana Wana Arusha!
Habari ya asubuhi bwana mkuu ,jana nilikuwa maeneo ya Big L nami nakiri nilisikia kishindo kikubwa cha mlipuko . Ila habari ulivyoileta umekoleza chumvi mno . Labda ndio mfumo wa uandishi kwa hapa kwetu tz . Pale baada ya sauti hakuna alijigusa hata baada ya taarifa za simu kuwa lilikuwa ni bomu. Hali kadhalika nilihama Bar na kwenda milistone hakukuwa na kuweweseka kwa watu bali watu waliendelea kugonga vyombo . Habari ni ya kweli ila sizani kama ni kweli weekend iliharibika kiasi cha ku-generalize kuwa jiji zima limesimama kutokana na mlipuko ule .Kitu kama bomu kimelipuka Hapa Arusha maeneo ya MTK Bar Mianzini na kusababisha mshindo mkubwa sana.
Taarifa zinasema baadhi ya watu wameumia.
========
UPDATES:
- Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha amethibitisha kutokea kwa mlipuko wa bomu Arusha Night Park, hakuna vifo, idadi ya majeruhi haijajulikana bado.
Ritz ni wewe au mwingine?"?
Ni bomu mkuu, watu wengi wameumia na wamekimbizwa Selian Hospital na Mt. Meru Hospital, MUNGU awape kupona majeruhi wote.
TANZANIA LEO NI MAJANGA!