Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,135
- 128,771
Manga, lengo ni jf be the first to know, akiishapata habari kamili, atamalizia!.Mkuu huu uchoyo wote wa nini?? Si ungejinyamazia tu? Si lazima uwe wa kwanza kurepoti jambo. Utakuwa wa maana ikiwa utaleta ripoti yenye mifupa na minofu juu yake. Siyo Skeleton. Eleza jambo tulielewe. Wengine tuna ndg huko. Wengine bado tuna mawazo fresh ya Olasiti na Unga ltd. Usitupandishe BP bure.
Mwingulu yuko wapi jamani??? Hivi yupo bungeni kweli naona kakaa kimya saana this week. Aisaidie polisi kubaini chanzo wasije sema ni kitu kibutu kwani Chagonji hachelewi
Pasco