Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 10,775
- 18,655
kwa msaada wa watu wa Marekanikwa umri wake ni bureeeeee kabisa
kwa msaada wa watu wa Marekanikwa umri wake ni bureeeeee kabisa
Acha utani wewe, pale unapotokea ungezimia kabla hiyo sindano haijazamaIle ganzi haichomwi kwenye pumbu mkuu..inachomwa ndani pale mkojo unapotokea
Aisee ulikaa na govi miaka 30!?Hakuna madhara. Mimi nilitahiriwa kwa ganzi nikiwa na miaka 30, nikiwa tayari nimeoa. Sijapata madhara yoyote.
Heee kuna dada mmoja naye alichomwa kwenye corodani mpaka leo mume wake anamwangakia tuDuh wanume mmeumbwa mateso sindano hadi za pumbu aah
Korodani za kike ndiyo zipi hizo mkuu? SijaelewaHeee kuna dada mmoja naye alichomwa kwenye corodani mpaka leo mume wake anamwangakia tu
Umeona eehNi kweli ina madhara.
Unajua ile sindano hua wanalenga kende moja na kulitia ganzi sasa inatakiwa lilengwe la kulia wakikosea wakalipiga ganzi la kushoto baada ya muda nguvu za kiume huanza kusumbua.
Nakumegea siri, kipindi hichi ambacho hilo tatizo limeshamiri ni kwakua Tanzania ndiyo kwanza hiyo huduma ilikua inasambaa hivyo kizazi cha miaka ya 80 - 90 wengi wana shida ya nguvu za kiume.
Halafu kuna mwendawazimu anaomba na kutolea na kileleni apelekwe wajameni duhDuh wanume mmeumbwa mateso sindano hadi za pumbu 🤔 aah
Yes pambaneni hamna jinsi ndiyo majukumu yenu pale bustani ya eden😀Halafu kuna mwendawazimu anaomba na kutolea na kileleni apelekwe wajameni duh
Hatari lakini salamaYes pambaneni hamna jinsi ndiyo majukumu yenu pale bustani ya eden😀
Rudisha simu ya babaMimi nilitahiriwa bila ganzi, hivyo sijui!
Lakini naomba kujua, kuna baadhi ya taarifa katika jamii kuwa ile sindano ya ganzi inayochomwa kwenye mapumbu hubaki kwa athari ya baadae!
Ndiyo maana baadhi ya makabila hayaruhusu watoto kutahiriwa hospital!
Je ni kweli!? Kama kuna hanithi humu naomba ajitokeze kutoa ushuhuda!
Jf sasa mmejaza watoto wa 2000sMimi nilitahiriwa bila ganzi, hivyo sijui!
Lakini naomba kujua, kuna baadhi ya taarifa katika jamii kuwa ile sindano ya ganzi inayochomwa kwenye mapumbu hubaki kwa athari ya baadae!
Ndiyo maana baadhi ya makabila hayaruhusu watoto kutahiriwa hospital!
Je ni kweli!? Kama kuna hanithi humu naomba ajitokeze kutoa ushuhuda!
MmhIle ganzi haichomwi kwenye pumbu mkuu..inachomwa ndani pale mkojo unapotokea
Shida ni ninyi hatujui tuwe upande gani ukiwa govinda kosa ukiwa abdullah kichwa wazi napo shida wagosha.Duh wanume mmeumbwa mateso sindano hadi za pumbu aah