Nahisi kuwa na nguvu fulani ndani yangu. Kitu chochote kizuri ninachotamani na kuwaza kitokee, kweli hutokea

tRNA

Member
Jan 10, 2023
88
288
Wadau mwenye kujua hili suala anisaidie ufafanuzi tafadhari kuna vitu vizuri ambavyo nimekuwa nawaza na kuomba vinitokee na kweli huwa vinanitokea tena vingine huwa vikubwa zaidi ya nilivyoomba au tamani vinitokee nina mifano michache nitaelezea vitu ambavyo nilitamani kupata na nikaomba na kweli vikanitokea kwenye maisha yangu na sio labda napiga goti nasali naenda kanisani hapana huwa nawaza tu kwenye kichwa changu nafikiria na kweli kile kitu kinatokea kwenye maisha yangu mimi ni mkristo lakin nina 10 years sijakanyaga kanisani!

1. Ajira
Kipindi nipo chuo kabla sijamaliza nilikuwa natamani sana kupata kazi dsm na hiki kitu kilikuwa sana kwenye akili yangu na kweli baada ya kumaliza tu chuo ajira yangu ya kwanza nilipata kazi dsm mwaka 2016 ilikuwa private! ilivyotokea hii niliona ni kawaida tu imetokea.

Nimefanya kazi dsm kuna siku akilin mwangu nikawaza na nikaomba natamani kupata kazi yenye mshahara mkubwa zaidi ya hii lakin nikaomba kazi hiyo niipate kwenye shirika lolote ambalo linahudumia wakimbizi na nikaomba kazi hiyo niipate kigoma kweli hili swala lilinitokea mwaka 2018 nilipata kazi kwenye shirika moja la kimataifa lilikuwa linahudumia wakimbizi kambi moja iv kigoma nilipata kazi kule na nikaenda kigoma kufaya kazi hii ilianza kunishtua kidogo lakini pia badae nikaona kawaida tu.

Nikafanya kazi kule but kuna siku nilipata safari ya kikazi kwenda mwanza kwenye taasisi moja iv ya serikali kuna shughuli ya kiofisi nilienda kufanya kufika kwenye ile taasisi kwakweli nilivutiwa nayo namna inavyofanya kazi kiufanisi na kwa weledi mkubwa mazingira mazuri sana ghafla tena kichwani mwangu nikawaza na nikaomba dah natamani nipate kazi kwenye hii taasisi nifanye kazi hapa basi maisha yakaendelea.

Ghafla mwaka 2020 nilipata kazi dsm kwenye taasisi kubwa sana ya serikali ambayo shughuli zake zinaendana na ile ya mwanza hapa sasa ndo nikaanza kushtuka kwann kila nachowaza kichwani mwangu kinanitokea vile vile nikasema ngoja nione itakavyokuwa mbele ya safari

2. Mahusiano
Wakati nipo kigoma nafanya kazi kwenye lile shirika linalo hudumia wakimbizi kuna siku niliwaza na kuomba natamani nipate mwanamke mwenye sifa fulani ili niweze kuanza nae maisha pia niliwaza mwanamke huyo awe ni mwajiriwa wa serikali pia niliwaza na kuomba mtoto wangu wakwanza nitakae mpata awe wa kiume haya yote yalinitokea nilipata mdada mmoja mzuri sana mwajiriwa wa serikali kwenye chombo cha ulinzi na usalama na alinipa firstborn wa kiume kama nilivyowaza awali.

Haya ni baadhi ya mambo machache tu nimeelezea lakin kwakweli ni vitu vingi vingi sana nimekuwa nikiwaza na kuomba na kweli vinanitokea kama nilivyowaza hali hii imekuwa ikinishangaza sana na kuhisi labda nina nguvu fulani ndani yangu.

Navyosema kuomba sio kwamba napiga goti naomba au nafungua biblia hapana naomba tu ndani ya fikra zangu na kweli kitu kinatoa mimi sio mtu wa kwenda kanisani nina mwaka wa 10 sijakanyaga kanisani lakin huwa natenda matendo mema kama kusaidia yatima, masikini na wenye shida mbali mbali!

Au ndo ule msemo wanasema ukijinenea mazuri na kweli mazuri yatakutokea na ukijiombea mabaya na kweli mabaya yatakutokea?

Naombeni ufafanuzi kwenu wataalam mnaojua hiki kitu? mpaka baadhi ya ndugu jamaa na marafiki huwa wananiambia wewe mbona mambo yako yananyooka sana bila changamoto zozote.
 
Unabahati sie wengine hua tunawaza sana na kuomba sana ila hatupati makubwa au tuliyowaza Bali tunapata vitu vidogo vidogo sana.

Fanya jambo kimshukuru Mungu uweze kuitumia vyema hio karama japo kuniwazia jambo jema Mr Kenice nipate ninachokihitaji Kwa kudra Za Allah.
 
Amen mkuu! Mungu atakusaidia utapata hitaji la moyo wako tena zaidi ya hilo unalohitaji
 
Wadau mwenye kujua hili suala anisaidie ufafanuzi tafadhari kuna vitu vizuri ambavyo nimekuwa nawaza na kuomba vinitokee na kweli huwa vinanitokea tena vingine huwa vikubwa zaidi ya nilivyoomba au tamani vinitokee nina mifano michache nitaelezea vitu ambavyo nilitamani kupata na nikaomba na kweli vikanitokea kwenye maisha yangu na sio labda napiga goti nasali naenda kanisani hapana huwa nawaza tu kwenye kichwa changu nafikiria na kweli kile kitu kinatokea kwenye maisha yangu mimi ni mkristo lakin nina 10 years sijakanyaga kanisani!

1. Ajira
Kipindi nipo chuo kabla sijamaliza nilikuwa natamani sana kupata kazi dsm na hiki kitu kilikuwa sana kwenye akili yangu na kweli baada ya kumaliza tu chuo ajira yangu ya kwanza nilipata kazi dsm mwaka 2016 ilikuwa private! ilivyotokea hii niliona ni kawaida tu imetokea.

Nimefanya kazi dsm kuna siku akilin mwangu nikawaza na nikaomba natamani kupata kazi yenye mshahara mkubwa zaidi ya hii lakin nikaomba kazi hiyo niipate kwenye shirika lolote ambalo linahudumia wakimbizi na nikaomba kazi hiyo niipate kigoma kweli hili swala lilinitokea mwaka 2018 nilipata kazi kwenye shirika moja la kimataifa lilikuwa linahudumia wakimbizi kambi moja iv kigoma nilipata kazi kule na nikaenda kigoma kufaya kazi hii ilianza kunishtua kidogo lakini pia badae nikaona kawaida tu.

Nikafanya kazi kule but kuna siku nilipata safari ya kikazi kwenda mwanza kwenye taasisi moja iv ya serikali kuna shughuli ya kiofisi nilienda kufanya kufika kwenye ile taasisi kwakweli nilivutiwa nayo namna inavyofanya kazi kiufanisi na kwa weledi mkubwa mazingira mazuri sana ghafla tena kichwani mwangu nikawaza na nikaomba dah natamani nipate kazi kwenye hii taasisi nifanye kazi hapa basi maisha yakaendelea.

Ghafla mwaka 2020 nilipata kazi dsm kwenye taasisi kubwa sana ya serikali ambayo shughuli zake zinaendana na ile ya mwanza hapa sasa ndo nikaanza kushtuka kwann kila nachowaza kichwani mwangu kinanitokea vile vile nikasema ngoja nione itakavyokuwa mbele ya safari

2. Mahusiano
Wakati nipo kigoma nafanya kazi kwenye lile shirika linalo hudumia wakimbizi kuna siku niliwaza na kuomba natamani nipate mwanamke mwenye sifa fulani ili niweze kuanza nae maisha pia niliwaza mwanamke huyo awe ni mwajiriwa wa serikali pia niliwaza na kuomba mtoto wangu wakwanza nitakae mpata awe wa kiume haya yote yalinitokea nilipata mdada mmoja mzuri sana mwajiriwa wa serikali kwenye chombo cha ulinzi na usalama na alinipa firstborn wa kiume kama nilivyowaza awali.

Haya ni baadhi ya mambo machache tu nimeelezea lakin kwakweli ni vitu vingi vingi sana nimekuwa nikiwaza na kuomba na kweli vinanitokea kama nilivyowaza hali hii imekuwa ikinishangaza sana na kuhisi labda nina nguvu fulani ndani yangu.

Navyosema kuomba sio kwamba napiga goti naomba au nafungua biblia hapana naomba tu ndani ya fikra zangu na kweli kitu kinatoa mimi sio mtu wa kwenda kanisani nina mwaka wa 10 sijakanyaga kanisani lakin huwa natenda matendo mema kama kusaidia yatima, masikini na wenye shida mbali mbali!

Au ndo ule msemo wanasema ukijinenea mazuri na kweli mazuri yatakutokea na ukijiombea mabaya na kweli mabaya yatakutokea?

Naombeni ufafanuzi kwenu wataalam mnaojua hiki kitu? mpaka baadhi ya ndugu jamaa na marafiki huwa wananiambia wewe mbona mambo yako yananyooka sana bila changamoto zozote.
omba ccm ikae bench kwanza
 
Hiyo ni the power of your subconscious mind inavyo influence maisha yako
 
Hebu tamani mgao wa umeme uishe, hapo ndio tutajua una hizo nguvu au porojo tu
 
Watu wengi hawajui wanachotaka maishani.
 
Basi Kwa fantasy zangu mimi ningekua nishadedi kitambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom