Miss u big time aiseee! Karibu tuyaone na MussaHivi upo nimekumiss mbaya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe hata vumbi la igunga halijamtoka!
Na fahari ya mume kumhudumia mke wakeFahari ya mke ni kumhudumia mume....
Aiseeeee naona wanawake mnazidi kupungua.Miss u big time aiseee! Karibu tuyaone na Mussa
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
tena wewe ndio wale wanaojilazimisha..hauko real...ndoa yenu imejaa unafilki real Love haiko one sided ndugu
I wish ungekuwa karibu yangu nikukate vibao vya fasta fasta
Ukipata Mume uje utuambie...Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Hapana Rebby,mmeo akiwa disabled utamkimbia na kuwa mchepuko,dalili ziko wazi.Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Jiandae kusaidiwa na house girl manake namgegedo pia utaleta uvivu mwsho utaishia kusema wanaume ni wanyama jitume bidada mwanaume ni kama mtoto mdogo analelewaaHivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D
Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Hapana siku hizi hawatumii nguo ya ndani bhana,wanatembea commando .Wanawake wa mjini ni waajabu kupika na kufua unaona kazi sana.
Kuna wanawake wenzako huko kijijini wanalima ,kukata kuni,kufyatua matofali nk.
Wewe inaonekana hata kufua nguo yako ya ndani huwez.i
HahaHapana siku hizi hawatumii nguo ya ndani bhana,wanatembea commando .