Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Nyuma ya keyboard kila maisha yanawezekana, unaweza hata kusema mme wako atakuwa anakufanya pale tu ukitaka kupata mtoto sisi tukakubali, unaweza kusema kuwa mme wako atakuwa analala chini wewe kitandani.
 
Kitanda tulicholalia sio nilicholalia naomba nikusaishe hapo,of course both of us we are responsible kwa kitanda..?...sijjui huu wito unakujaje Yaani anakuja nyumbani na brief case unampokea mnh kuwa real!!
Inwazekana unchoongea ni uongo ili kuwatia wenzako ujinga.
 
Kwani na wao si wana akili timamu?
Wapo wenye akili za kushikiwa wanaweza kufuata maneno yako.
Halafu nimekuuliza hiki unachotaka kukifanya hata mzizi wako wa kike alifanya hivyo?
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza.
Utabaki kuwa mtazamaji hutaolewa kabisa,,,,, huu utamaduni uko hata kwa wazungu.....
 
Kitanda tulicholalia sio nilicholalia naomba nikusaishe hapo,of course both of us we are responsible kwa kitanda..?...sijjui huu wito unakujaje Yaani anakuja nyumbani na brief case unampokea mnh kuwa real!!
Labda nikuulize, mapenzi ni nini? Labda nikuambie tu kuwa kwa sisi tulioolewa waume zetu ni mafirst born wetu, tunawafanyia huduma zote kama watoto, tena za kwao ni advanced kwa sababu tutawapa na vile ambavyo wazazi wao hawakuthubutu kuwapa... Kama ya kupokea briefcase unashangaa, nikikwambia kuwa tunawaogesha utazimia. Chagua tu kubaki single.
 
mapenzi hayako one sided, nini hiki naona unashindwa kutetea point yako, kama hayako one sided ndo ujjue kuwa mwanaume anaplay part yake ndo maana hawezi kukuomba hela ya boxer lakini ww had ya ped unaomba
Mnh umejaribu kujustify kuwa unajinunulia boxer na mkeo ped Hayo ni maamuzi yako...kwanza HAKUNA mwanamke anayemuomba mkewe hela ya pedi...mnhu
 
Shost,unaweza kuolewa na usifue wala kupika ila ukafanya mengine makubwa zaidi ya hayo.Wanaume ni watafiti sana ukibweteka baada ya kuolewa unampa nafasi ya kufikiria wengine.Nina mifano hai,mimi niliolewa nikiwa 28yrs.Niliamin tunapendana sana na mme wangu tuliwekeana hadi zamu za kupika kufua na niliinjoi sana ile hali.Siku moja akaja ndugu yake toka mbali na tunapoishi aliikuta ile hali naona akamuweka kikao akaniambia kuanzia siku ile anaacha zamu zile kila mtu afanye majukumu yake.Nikaanza kufanya kazi zote zimpasazo mke kufanya,wote tulikuwa waajiriwa.Nikaacha kuchangia pato la ndani ili afanye vizuri majukumu yake akachemka tukaachana.Baada ya miaka 3 akaomba turudiane nilikataa kwani nilikuwa kwenye uhusiano mwingine.Mdogo wangu ukipata BAHATI ya kuolewa jiandae kwa kila kitu kufua ,kupika,kunyoosha nguo zake na kitandani uwe vizuri.
 
Hukufundwa, umeiga uzungu, hujui majukumu ya mke ndani ya ndoa. Ukiona katulia ujue kuna anakopata faraja ua kuwa mwanaume!! ni ngalizo tu. wacha uzungu ukuharibu, na utaharibu ndoa yako mweyewe kwa mikono yako. Ni hivyo kuitwa mwanamke??????........................ ushaelewa
Hata wazungu hawako hivyo, wanawake wa kizungu wanawajali sana wenzi wao...
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza.
Utaishiwa kuchezewa vinginevyo ndoa utaisikia bomani au kanisani tu.
 
Wanawake type hii ndo uwa wa kwanza kufanya yote hayo na wakijichelewesha kufanya majukumu yao ni kipigo heavy..then anakuja hapa kudanganya umma.
 
Matatizo ya kua mboga saba,mtindi,mayonaizi,mijuisi na ukitaka kutoka funguo zimetundikwa ukutani unachukua funguo ya Benz mshua anafoka..unataka utumie gari gani hilo hebu chukua funguo za Ferrari bhana ndio haya.
Mtu kama wewe majukumu ya mke lazima uone ni mateso.
 
Back
Top Bottom