Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

sidhani kama ni utumwa mamii, inatokea tu automatically umepika, say anarudi saa moja jioni na wewe upo tu nyumbani, utamsubiri apike kweli,ila kama mume wangu mimi kupika yeye sio issue, nikimwambia nimechoka au ana hamu na mapishi yake mwenyewe anapika tu
Umeongea vizur dada. Mwanaume huwez kumpangia zamu ya kupikia hata ya kufua km haajamua kutoka moyon mwake. Km umechoka mbembeleze na mazingira yawe yanaonyesha kuwa umechoka.
Sis wanaume huwa wavumilivu sana na ikitokea hiyo ishu ya kusaidiana huwa ni mara moja moja sana tena mazingira yawe yanaruhusu.
Mm natoka kazin saa 2 usiku ww saa 10 jion nakukuta bado haujapika eti zamu yangu. Nitavumilia wiki tu na siombe nikatoka nje nikakuta nafanyiwa service zote tena ukimpata anayejua kujali. Ndio nahamia huko huko kbsa nachukua kilicho changu nahama mazima kbsa. Nimekuoa kupika nipike mm mwenyew, nifua, na nipige deki si bora niishi peke yangu
Sikatai kumsaidia kaz mke wangu ila kunamazingira mfano anaumwa, kachelewa kutoka kazin, kanisan, sokon, kachoka , upo period, una mimba au nimechelewa kuamka hapo nitandika ila nimekuacha kitandan halaf unaniambia zam yako kutandika. Lbd sio mm n.k ila sio mm natoka kazn saa 3 usiku ww saa 10 jion na haumwi hapo sahau.
Hata km tuna mahousegirl 10 nimarufuku kuingia chumban kwangu kufanya usafi.mke wangu atawajibika kwa usafi wa chumban. Boxer na soks nitafua mm mwenyew.
Kuna wanawake wengine kila kitu kamwachia housegirl mtoto akiumwa housegirl unafikir kitatokea nn hapo zaid ya kupinduliwa na housegirl halaf unaanza kulalamika.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Kama ni utumwa stay with parents
Unakataa kuwa mapenzi si utumwa?,
My GOD ndo maana ndoa zinawashinda,mapenzi na ndoa yanaundwa na sehemu kubwa ya utumwa kwa maana kuna sehemu ya haki na mambo na Uhuru wako unauuza kwa mwenzako nae anakupa sehemu ya hali na Uhuru wake,wanawake wing wanaingia kwe mahusiano na ndoa bila kujua hili na wakifika humo wanaanza kudai Uhuru ktk taasisi isiyo na Uhuru na ndoa zinakufa,wakati upo single ilikuwa unaweza kujifanyia chochote bila kuangalia maslahi ya mwingine,lkn kwe ndoa na mahusiano chochote ufanyacho lazima ujiuluze juu ya mwenzako hata km hakimuhusu,mnapooana mwili wako unamilikiwa kwa sehemu kubwa na mwenzako,me au ke,huu ndo ukweli ili ndoa na mahusiano viende lazima kukubali kuwa mtumwa,km haulikubali hili usifikirie kabisa maisha ya ndoa yatakushinda Siku moja tu,lazima kuna ya kumtumikia mwenzako na kutumikia ndo utumwa,tatizo lenu mnadhani utumwa ni mpaka kubeba pembe za ndovu,
Ndoa zina utumwa baridi kwa60% kinyume na hapo ndoa hata work,
O
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]


Shida sio kusaidiwa, shida ni mindset yako! With that mindset namuhurumia muoaji!
 
Simple tu, unachojipikia wewe na yeye unampa, huwezi lalia kitanda kichafu nae atalala Kwenye kisafi ulichotandika, unapofua nguo zako nae unamsaidia ili asijaze uchafu ndani
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Mwanamke wa kidigitali...mwanamke wa mwendokasi
 
Shogaa uzungu huo utazunguka nao...... Katika ndoa kuna mwili mmoja wenye jinsia 2 mwanaume na mwanamke... Mwanaume ni kichwa na mwanamke all days utakuwa chini yake... Operator of the family ni mwanamke. Kuna majukumu ya mume katika ndoa na majukumu ya mke.
Bado cjaolewa ila nimeona kwa wazazi wangu.. Baba umuhudumia mama in everything kama mume. My dad hawez kula vizur... Vaa vizuri e. t. c bila kujua mama ameenda saloon..amekula and so on.. So mama nae pia akifua nguo zake hawezi acha za baba... Akiona shati zuri atamnunulia... Akitandika kitanda watalala wote.. Haya ndo maisha ya ndoa.
Ukisubiri mtu awe disabled thats exploitation.
Watu kama wewe ndo wana wauaga waune zao ili warith mali... Namuonea huruma ataye kuoa... Mungu tu amsaidie apate mwanamke ambaye atakuwa ubave wake...
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Tutakuwa tunajiazima natunarudisha
 
Mimi ikatokea nikaolewa nitaplay part yangu kama mwanamke ntafanya shughuli zote...akiamua kuja kunisaidia pia nitashukuru, Buut mtoa uzi nakushauri tafuta mzungu...maana wao ndio wanafundishwa kuwahudumia wake zao hivyo tangu wakiwa wadogo...la sivyo kibongo bongo hutopata mwanaume atakayekuvumilia
 
Back
Top Bottom