Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

kwanza unaonekana ww ni OUT MATERIAL so acha wenzako wafanye majukumu yao
 
Sidhani kama ni ujinga au ubeijing in any way, amesema tu asichopenda kufanya, thats her openion!
Kufua, kupika, kutandika kitanda, mpaka mume awe disabled ndo atafanya, maana yake hata sasa hatandiki kitanda chake, hata kujifulia nguo zake ni mtihani, kupika hapiki anakula magengeni halaf bado anataka aolewe hiyo ni opinion ya kijinga
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Hata wa kukuoa atakuoa baada Wanawake wote kuisha.....

Wanawake kama ninyi mnafaa kuwa michepuko tu kwaajili ya matumizi ya dharura
 
Hata wa kukuoa atakuoa baada Wanawake wote kuisha.....

Wanawake kama ninyi mnafaa kuwa michepuko tu kwaajili ya matumizi ya dharura

poa tu,we make the world go round,hamjui tunawaweka sawa kiakili mfanye kazi vizuri,tuongeze pato la taifa----michepuko oyeee
 
Kufua, kupika, kutandika kitanda, mpaka mume awe disabled ndo atafanya, maana yake hata sasa hatandiki kitanda chake, hata kujifulia nguo zake ni mtihani, kupika hapiki anakula magengeni halaf bado anataka aolewe hiyo ni opinion ya kijinga

argue objectively,next time....
 
Natafuta mchumba baadae awe mke wangu wa ndoa lakini kwa huu uzi inabidi nirudi nyuma hatua kumi,mwanamke anawezaje kuwa na fikra za namna hii!!
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]

kwani ukiwa peke yako tu hvyo vyote hufanyi? unapopika chako nae si unamjumuisha tu
 
Kwani tumekulazimisha kuolewa? Bakia hivyo hivyo tu na maisha yako then ukishafikisha 40years ndiyo utafute mme atakayekubali life style yako
 
wengine mnajitoa ufahamu,ili kuendeleza ligi,hovyo.
 
Hata wa kukuoa atakuja akuoe wanawake wote wakiisha olewa ukabaki alone:kwani inaonekana hujui wajibu wako
Mtoa mada yuko stressed sana maana kachezewa tangu akiwa na 12 years mpaka sasa 52 pasi na kuolewa thats why anakuja na kanuni zake zisizoeleweka.
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Halafu akienda anakofanyiwa hayo unaanza kuuliza kwanini wanaume wanacheat?
 
Hahahaha. Maisha kuchagua japo jamiii inayokuzunguka pamoja na asili vinahusika sana kukushape. Naongelea (nurture and nature)

Katika utamaduni wa watanzania ni nadra saana kuona mwanamke anaetamka maneno kama Rebecca83 japo kuna outliers kama yeye. Wapo tena siku hizi ni wengi. Kwa mrengo wa maisha yao ni mzuri maana Dunia ni sahani chukua unachoweza pia unaweza kuwa unachoweza.

Wanaume tunatakiwa tuamke tujue utandawazi umefanya kazi yake. Wanawake wengi wanatembea, kama hawatembei basi wamesoma na kusikia wenzao wa mbali wanavyoishi. Mfano mzuri ni HOUSEGIRL. Japo staki kuamini maisha wanayoishi wenzetu ndiyo mazuri kuzidi ya kwetu ila umma wa huku hasa wanaodai haki sawa wanaamini hivyo.

Wasichana wanaokua wengi mindset yao sio ya kuoa na kuolewa ni KUOANA. Wanaamini majukumu ya nyumba ni ya wote.
Kinachowapa nguvu sio tu proves zinazotokana na utandawazi bali ni kujiona kila anachoweza kufanya mume naye anauwezo wa kukifanya. Kama ni kazi ya kuajiriwa wote mnafanya. Kama ni kuihudumia familia na yeye wanahudumia. Sasa yeye kwanini kazi za ndani ziwe zake mwenyewe???

Kwa Wanaume sisi ni watu wa kusimamia show(kuhudumia) majumbani, ila leo wanawake nao wanahudumia. Sasa kwanini yeye aplay role kubwa?? Wanawake Wengi wanajitetea kwa pointi kama hii.

Ni dhahiri katika mazingira tunayoishi wanawake(outliers) wanaojaribu kupractice this new living style wamejikuta katika upinzani mgumu ndani ya jamii hasa kutoka kwa waume zao na pia wanawake wenzao. Wengi huachika na wengine ambao hushikilia misimamo hubakia bila kuolewa. (Ushauri ukiamua kukaza kaza hadi mwishooo).
Kwa sisi wanaume tumelelewa hivyo..tumekua hivyo..tena na jamii imetuaminisha hivyo kuwa kuna kazi za mke na za mume. Baba yangu au baba mkwe akija kunitembelea kwangu akakuta mke ananiagiza maji ya kunywa halafu yeye kakaa ataniona punga. Au akasikia unaniambia dabo ukate vitunguu vizuri eeh pia ataniona punga.
Hivyo wanaume tutabadilika lakini sio haraka kama anavyotaka rebeka83. Mdogo mdogo. Kama kuna wanaume ambao tayari wamebadilika wachukueni kwanza.

Binafsi: mke wa hivyo hapana.
 
Unaniposa buana
haya ntakuposaa mamaa soon nakuja huko matombo kwenu,

wajulishe wazazi waambie hakika nimepata chaguo langu

kijana super Handsome (in Lemutuz voice)

waambie huyu ndie yule niliekua namsubiri siku zote.
 
Simple tu, unachojipikia wewe na yeye unampa, huwezi lalia kitanda kichafu nae atalala Kwenye kisafi ulichotandika, unapofua nguo zako nae unamsaidia ili asijaze uchafu ndani
Una akili sana Wewe[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom