Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

sidhani kama ni utumwa mamii, inatokea tu automatically umepika, say anarudi saa moja jioni na wewe upo tu nyumbani, utamsubiri apike kweli,ila kama mume wangu mimi kupika yeye sio issue, nikimwambia nimechoka au ana hamu na mapishi yake mwenyewe anapika tu
 
Hahaa na huyo mmoja atakaebaki wa kunioa nae ajue sijapata kufanya huo UJINGA na sitafanya [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Lazima utakuwa wale wa daddy this dad's that hadi pichu unafuliwa na beck 3
 
Ukae ukijua kuwa hata wewe ni mnyama hilo litambue tofaiti ni kuwa una ufahamu zaid ya baadh ya wanyama ingawa si wote ndio maana hata binadamu baada ya kuona anashindwa kufanya baadhi ya kazi amehitaji masaada kwa mbwa na wanyama wengine
sikiliza wewe mnyama, tofauti ya binadamu na wanyama wengine kama kuku ni kuwa wana uwezo wa kuReason. lakini wewe unafanana zaidi na kuku.
 
sikiliza wewe mnyama, tofauti ya binadamu na wanyama wengine kama kuku ni kuwa wana uwezo wa kuReason. lakini wewe unafanana zaidi na kuku.
Mh!! Aisee basi sawa isiwe tabu kuna mengi makubwa na mazito yanayo likumba taifa letu nadhani tujadili zaid hayo kuliko kuendeleza malumbano yasiyo na maana kwako ,kwangu na kwa familia zetu.
 
Najua sasa utabisha sana HOUSEGAL
Kumbe ulijua!!!!!

Kosa lako la kwanza ni kuongelea wanaume wenzako. TAFADHALI, UNAWACHAFUA wanaume wenye MVUTO. Jiongelee mwenyewe bro, na waafrika wenzio labda.

.
Siku zote mwanaume ndio kichwa cha familia ubishe usibishe
familia nyingine zina ongozwa na team work ya mume na mke na ndo zinazonivutia. hivi na hicho kichwa chako unaanzaje kuniongoza!!! angalau anizidi intelligence. siwezi kupretend kukubali ukilaza wa Mtu.

Mwanaume anaweza kufanya vyote hivyo unavyosema kufua, kupika n.k ila kwa hiari yaan kapenda mwenyew ila sio kumlazimisha au kumpangia zamu. Siku zote mwanaume huwa hapelekeshwi au kumlazimisha.

Na wengine lkn ukiingia kweny ndoa utaona uhalisia wake kuna vitu huwa hapend mwanaume KUPELEKESHWA NA KUTOHESHIMIWA.
Hakuna Mtu mzima anayependa kupelekeshwa na kulazimishwa. Hata mimi sipendi na sina sababu ya kulazimisha Mtu.

hata km unamuomba hela utaomba kwa ustaarabu.
inabidi utafute mwanamke wa kukuomba hela manake ndo wanakutia ubandidu. me nafwata mapenzi tuuu

Unajua ktk maisha huwa tunajipangia vitu ving sana tena vizur hata kweny mahusiano pia lkn muda ukifika utaona uhalisia wake.
As far as house chores are concerned hakuna tofauti yoyote whether kuna mahusiano au Hamna. Mijanaume inayoona ikioa haipaswi kufanya kazi ni mivivu na isiyojali wenzao.

Dada yangu ili ndoa yako ikamilike
embu acha kuongelea maisha ya wenzio. umeambiwa dunia nzima inaishi kama watu wa kijijini kwenu?

mwanaume akubali( mwanaume ndio anasauti ya mwisho)
Mahusiano nayotaka mimi ni mahusiano yenye mutual understanding na sio kutuwalana. Katafute huyo mke ambaye Utakuwa humsikilizi. wako kibao mjini hapa.

kumbuka haya maneno mawili yanatofauti sana KUOA NA KUOLEWA achana na vya kizungu MARRY
semantics

Hongera kwa kusimamia msimamo wako lkn uking'ang'ania huu msimamo utaachika
haiwezekani nikaolewa na mtu ambaye hana mtazamo kama wangu so hakutakuwa na "kuachika" coz mwenyewe NITAMUACHA kabla mahusiano Hayajaenda popote

akikuvumilia ataenda kwa housegirl au atatafuta mke nje
Janaume lendekezalo uzinzi utalijua tu. Ni mijanaume ya huku inayoendekeza kulala na mahousegirl. OVYO.

utajikuta unafikisha watoto 3 kila mtoto na baba yake.
Ndo tatizo la kuzungukwa na maskini na watu wasioelimika wasiojua uzazi wa mpango.

Km unamtazamo huu naomba ubadilike acha masuala ya tamthiliya.
kwako tamthiliya. kwa wengine ni maisha ya kawaida ya kila siku

Fanya research ww mwenyew uliza watu walioko ktk jamii yako na pia fuatilia watu weny mitazamo km ww uone wanaishije.
ulishawahi kutoka hapo kijijini kwenu ukaona watu wanavyoishi?

halafu acha kuendekeza uvivu we kivulana.

Hakuna kitu mwanaume anapenda km kupikiwa na kufuliwa na mkewe
hata mimi napenda kweli kuhudumiwa. hakuna sign kubwa kuwa napendwa kama kuhudumiwa. 🙂

ukiona mpaka kitanda unacholalia na mumeo housegirl anatandika
you ain't talking about me

Dada usiwe mbishi lbd ujigeuze uwe mwanaume ndio utaepuka hiv vyote.
acha uvivu wewe. hakuna chochote mwilini mwako kinachokuzuia kufanya shughuli za nyumbani

Ila pole sana ila ukimpata huyo mwanaume ndoa yenu itachukua mwez 1 inavunjika. Angalia usije ukajioa km wale wengine
Pole na utabiri wako. Ukweli wa mambo huukamati Leo wala kesho. Endelea kutabiri.

na wala usiwaseme wasioolewa karne ya 21 hii baba
 
Mwaya utakua na mahouse maids zaid ya kumi watakufanyia kazi zote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Utaendelea kubanduliwa gesti hadi uzeeke
 
Kumbe ulijua!!!!!

Kosa lako la kwanza ni kuongelea wanaume wenzako. TAFADHALI, UNAWACHAFUA wanaume wenye MVUTO. Jiongelee mwenyewe bro, na waafrika wenzio labda.

.
familia nyingine zina ongozwa na team work ya mume na mke na ndo zinazonivutia. hivi na hicho kichwa chako unaanzaje kuniongoza!!! angalau anizidi intelligence. siwezi kupretend kukubali ukilaza wa Mtu.

Hakuna Mtu mzima anayependa kupelekeshwa na kulazimishwa. Hata mimi sipendi na sina sababu ya kulazimisha Mtu.

inabidi utafute mwanamke wa kukuomba hela manake ndo wanakutia ubandidu. me nafwata mapenzi tuuu

As far as house chores are concerned hakuna tofauti yoyote whether kuna mahusiano au Hamna. Mijanaume inayoona ikioa haipaswi kufanya kazi ni mivivu na isiyojali wenzao.

embu acha kuongelea maisha ya wenzio. umeambiwa dunia nzima inaishi kama watu wa kijijini kwenu?

Mahusiano nayotaka mimi ni mahusiano yenye mutual understanding na sio kutuwalana. Katafute huyo mke ambaye Utakuwa humsikilizi. wako kibao mjini hapa.

semantics

haiwezekani nikaolewa na mtu ambaye hana mtazamo kama wangu so hakutakuwa na "kuachika" coz mwenyewe NITAMUACHA kabla mahusiano Hayajaenda popote

Janaume lendekezalo uzinzi utalijua tu. Ni mijanaume ya huku inayoendekeza kulala na mahousegirl. OVYO.

Ndo tatizo la kuzungukwa na maskini na watu wasioelimika wasiojua uzazi wa mpango.

kwako tamthiliya. kwa wengine ni maisha ya kawaida ya kila siku

ulishawahi kutoka hapo kijijini kwenu ukaona watu wanavyoishi?

halafu acha kuendekeza uvivu we kivulana.

hata mimi napenda kweli kuhudumiwa. hakuna sign kubwa kuwa napendwa kama kuhudumiwa. 🙂

you ain't talking about me

acha uvivu wewe. hakuna chochote mwilini mwako kinachokuzuia kufanya shughuli za nyumbani

Pole na utabiri wako. Ukweli wa mambo huukamati Leo wala kesho. Endelea kutabiri.

na wala usiwaseme wasioolewa karne ya 21 hii baba
Nimejaribu kufatilia komenti zako,naona u anajenga taswira ya mtu asiekuepo na wala awezi kutokea.Na bila shaka ulisema hutoolewa kwahiyo sijaona tatizo lako kuponda wanaume.
 
Dada love is not simple

haha I don't know what you been through. LOVE IS SIMPLE. Kumsaidia umpendaye inakuja naturally. lakini ukiwa mental case unayeona kila kitu kinashusha uanaume wako lazima iwe ngumu kwako.
hayo mapenz ni ya girlfriend & boyfriend
As far as house chores are concerned, hakuna tofauti yoyote whether kuna mahusiano au Hamna kuna cheti cha ndoa au Hamna. Mijanaume inayoona ikioa haipaswi kufanya kazi ni mivivu na isiyojali wenzao.

ukitaka hiv vyote inabidi umtongoze mwanaume,
umeambiwa wanawake huwa hatupendi? kama hujawahi kupendwa pole

ujilipie mahari
Mahari ndo inakufanya umtumikishe mwenzako? Sihitaji mahari. Tamaduni zingine ni useless.

na hela ya matumiz huwa unatoa
Uliambiwa nataka kuwa goli kipa? Wanawake kibao wanachangia kipato, tena wa wanaume Hawa Hawa wanaogoma kusaidia nyumbani.

na halaf utafute mwanaume ulimzid kipato, na elimu yaan kwake aone km zali la mentali.
anayekupenda atakusaidia na si kwasababu
anaogopa umemzidi kipato

Dada unaongea sbb hapo ulipo haujaolewa na unayoongea ni yakufikirika. Unavyochat na boyfriend wako na mnavyoambiana maneno matamu unafikir uko kweny ndoa.
NARUDIA, kusign vyeti vya ndoa havikuzuii kufua na kupika. Ni UVIVU wako na KUTOMJALI mwenzako.

Nadhan hapo ulipo huwez hata kupika chai, au ugali ndio maana vyote unaona kaz. .
kama sio kazi mbona imeleta mjadala mkuuubwa?? MNAJUA NI KAZI , NANYI NI MIVIVU
Mdogo wangu
heeeh tusilazimishane undugu. na hata kama umenizidi umri uwezo wako wa kufikiri uligotea hukooo nyuma.

maisha ya ndoa hayako hivyo hayo unayoandika ni ya uboyfriend na ugerlfriend
ukungwi unalipa mjini hapa kanunue mic tu.

hata ukiongea mbele za watu watakushangaa
ulishawahi kutoka hapo kijijini kwenu?

sana ila sio kosa lako ni malez uliyopitia
nimefundishwa meeengi, mengine nimeacha. my parents are typical African parents. kama wangekuwa wanahusika na nilivyo , basi ingekuwa KITU CHEMA SANA

ila jiandae kuwa mchepuko tu.
maneno hata kwenye boxer hapo

Ukifikisha miaka 30 akili itakuwa sawa.
kawatishie wasiojielewa huko...
 
Nimejaribu kufatilia komenti zako,naona u anajenga taswira ya mtu asiekuepo na wala awezi kutokea.Na bila shaka ulisema hutoolewa kwahiyo sijaona tatizo lako kuponda wanaume.
we kwako mwanaume anayefanya kazi za nyumbani ni Mtu asiyekuwepo??

😀 😀

nimekuona huruma, naomba nipitishe harambee JF tukuchangie ukaoshe macho huko duniani.

lakini wenzako humu humuita huyo wa Kufikirika MZUNGU.
 
Naona unabishana na nature.
 
nature inakupa ukoma usipike eeeh??

Sema UVIVU. acha kuzingizia nature vitu vya kijinga.
Ndio maana huwa nashangaa ongezeko la wadada kutafuta wanaume mitandao wa kuwaoa kumbe sabb mojawapo ndiyo hii.
Yaan mm uniwekee zamu ya kupika, kufua ha ha ha ha. Nilioa kufanya nn? Sasa km mwanamke anakimbia majukumu yake huyo tumweke kundi gani?
Inabid ununue dildo tu hakuna namna.
Mapenz ya mwendokas haya ni hatareeeeeeeee.
Ushauri wangu amua usiolewe sbb ukiolewa yote haya utayafanya tu.
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Hii ni shida ni ya mama ako aliekulea
 
Ndio maana huwa nashangaa ongezeko la wadada kutafuta wanaume mitandao wa kuwaoa kumbe sabb mojawapo ndiyo hii.
Yaan mm uniwekee zamu ya kupika, kufua ha ha ha ha. Nilioa kufanya nn? Sasa km mwanamke anakimbia majukumu yake huyo tumweke kundi gani?
Inabid ununue dildo tu hakuna namna.
Mapenz ya mwendokas haya ni hatareeeeeeeee.
Ushauri wangu amua usiolewe sbb ukiolewa yote haya utayafanya tu.
nilichokujibu wewe umeacha umerukia vya wenzio kujichekesha tu.

umekaa kukrem tu ukiolewa lazima ufanye. ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.

NARUDIA KWAKUWA NIMEFIKIRIA MENTAL CAPACITY YAKO

kama ni jukumu lake kupika, I'm assuming ni mama wa nyumbani, na apike. kama analipa bills na bado pilika za home ni zake peke yake JISHTUKIE.
kama humhudumiagi mwenzako kwa mapenzi tu pia JISHTUKIE.

I'm done here, naongea na muwaza madoli doli. how low of me!
 
Ndio maana huwa nashangaa ongezeko la wadada kutafuta wanaume mitandao wa
na mie nashangaa ongezeko LA wanaume watafuta wake mitandaoni. they're mentally incompetent (like you) and they can only hide it from people they meet online.
 
na mie nashangaa ongezeko LA wanaume watafuta wake mitandaoni. they're mentally incompetent (like you) and they can only hide it from people they meet online.
Truly,
you are too lazy to be a
housewife
 
Back
Top Bottom