Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Hahaa na huyo mmoja atakaebaki wa kunioa nae ajue sijapata kufanya huo UJINGA na sitafanya [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ipo siku utatamani uifute hii thread... nadhani bado upo early 20's na marafiki zako eidha walioachika au wenye mawazo hasi oama yako au wale wa kona baa..
 
Kwa hiyo huwa unamwachia nafasi ya kukonyezwa sio? Kila la kheri ndugu.
Kama mkeo hatazamwi na mtu yeyote; kuna mambo mawili - umeoa mke mwenye sura mbaya ambaye havutii; na pili hujui kumtunza mke, ni mchafu, amechakaa, akivaa nguo haimkai. Mwanamke shurti apendeze, atongozwe lakini asitoe, ndo raha yao hiyo ati.
 
Hahaa na huyo mmoja atakaebaki wa kunioa nae ajue sijapata kufanya huo UJINGA na sitafanya [emoji4] [emoji4] [emoji4]
By the way, inaonekana umezaliwa mwaka 83, so I assume una miaka 33. Na kama hujapata wa kukuoa hadi umri huo, ujue ni kutokana na hivyo vitabia vyako. Badilika uolewe, usije zeekea kwenu....
 
Hivi mke ukimuoa unajua kazi yake nn?!mke ni pambo hizo kazi kuzifanya au asizifanye ni uamuzi wake hatakiwi kushurutishwa.labda km ikiwa usafi wa mwili wake ndo unaweza kumlazmisha ila kisheria ht za kidini mkeo akikulelea watoto wako inatakiwa umlipe pesa!mkeo inatakiwa umwekee msaidizi ndani na sokoni mume ndo uende ila wengi wetu hatujielewi tu.me mke wangu ni malkia kila kitu namfanyia!yeye akifanya ni kwa mapenzi tu
Poleee
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]

usiache pia kulipa ada, kununua kiwanja, kujenga nyumba, kufanya miradi mbali mbali ya maendeleo, kutoa michango, uwe unafanya maamuzi yote ndani ya nyumba..
na ni kama utabahatika kuolewa. ila kwa mawazo hayo yako yani wewe wala hata huhitaji mume.
unaweza kua mchafu na mvivu.
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]

ACHA USISTADUU WEWEEE
 
Usijali mdada wa kazi atakusaidia.huwa wanasaidia mambo mengi sana ondoa shaka.
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]

Na isikute unajiita mwanamke bila woga?
 
Tuanzie hapa, una miaka mingap mpaka sasa, umeruka na mabuzi wangap, unadhani mpaka sasa ni kwanini huna ndoa.
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
unaongea kwa kuwa haujalishwa mhogo ...utafanya tu ila kwa kuwa mpenz wako ni mwanaume wa dar wote hawajielew chips xo hAwez kukuchange mental yako
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Thamani aliyonayo mumeo kwenye maisha yako ndio iyakayokufanya ufanye hivyo au la. Pia hilo ni swala ka kutambua majukumu yako kama mke lakini kama kwenu ulikuwa unamuona mama yako hafanyi hivyo vitu ni ngumu pia kwa wewe kufanya maana maji hufwata mkondo
 
Kuna mtu namfahamu mpaka sasa anaelekea 40, hataki kuolewa kwa sababu tu hataki kufua nguo za mume au kuamka mapema kumuandalia mume breakfast,au kuulizwa ni kwa nini umechelewa kurudi. Hizi sampuli za watu ziko nyingi.
Huyo kafanya maamuzi sahihi maana ndoa ingemshinda.
 
Back
Top Bottom