Acha upumbavu, unampikia halaf ww unaenda kula kwenu au kwa mama ntilie? Unamfulia? Kwani yeye anapotafuta hela ya kula, kodi anakutafutia wewe au anatafuta ili maiaha yenu yasonge? Na kama unaona kuolewa ni utumwa kaa uendeleee kujipiga madole, mikaroti na matango. Kumfulia kumfulia mumeo si adhabu wala utumwa ni mapenz kama unavyosema mwanamke lazima atunzwe na mwanaume anatakiwa kutunzwa pia na kutunzwa kwake ndo kama huko kufuliwa, kupikiwa chakula bora ambacho kitamfanya awe na afya njema awe na uwezo wa kukushughulikia hayo ndo mapenzii, kama unataka akununulie mavazi, akupeleke saluni akupe hela ya kuwatunza mashot kwenye shughuli halaf ww kumfulia nguo iwe utumwa endelea kusgua benchi