Mliooa wanawake walokole piteni hapa tupeane uzoefu

Mliooa wanawake walokole piteni hapa tupeane uzoefu

Anyway, ushauri wangu ni huu
*wasichana wengi wa kilokole wameokoka (wameungana na walokole ) kwasababu wameambiwa na wazazi wao waende kanisani. Yaani hawajaamua wenyewe kutoka moyoni.

Kingine, wengine wameingiamo makanisani kutafuta waume wa kuwaoa. (kama wewe ulivyotegwa ) baada ya kuona umri unazidi kusogea.

So tafuta disciplined and focused girl (wife material ).
Nb:sijaoa, lakini nawafahamu sana HAWA wa kilokole

Sent using Jamii Forums mobile app
Bola umemchana ukweli...wengine mkumbo, kuiga au kushinikizwa na wazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo nalo neno
Mkuu..

Simple advice.

Kama wewe ni mlokole oa mwanamke mlokole manake ndio mtaendana.

Ila kama ni mtu uko too materialized , chukua mtu ambaye mnaendana..itakuwa rahisi sana kuvumiliana.

Ndoa ni kuvumiliana mkuu, achana na mambo ya movie..! There is ups and downs so choose wisely..

Go for someone who can enjoy your stupidity..[emoji41]
 
Ukibahatika kumpata aliyeookoka kwanza huwa ni wanyenyekevu, wapole, wavumilivu, kwao hawaamini katika kuachana, taa yao haizimiki usiku hapa kuwa kwakua mwili huwa wameufunga wakiufungua ni shida utapata vitu wewe mpaka usahau kwenu hata kama sio bikra utaikuta ni mnato balaa maana anasiku nyingi akiufunga mwili. Kuhusu roho mbaya hili halipo japo huwa si watu wa kujichanganya kwenye vikundi vya umbeya mtaani hutomkuta katu ni mtu ndani tu hivyo hili huwafanya wengi kuwasema sana hasa jinsia kike. Kingine kama unadungu waendeo bila ya utaratibu huwaambia ukweli ili wabadilike huwa hawakai na la moyoni katu hayo ni machache tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke akikubali kuolewa na wewe tambua ana ufinyu wa kimafundisho hivyo bado mchanga sana kiroho hivyo atakupa sana tabu hatokuwa na tofauti na binti wa ki RC labda awe na back up ya watumishi wanaoomba naye na kumfundisha na kumtia moyo kimaandiko katika mambo mbalimbali anayopitia. Mwanamke aliyeookoka na akafundishika vema huwa kama dhahabu na mtu aiyeokoka atabakia kula kwa macho tu. Kwani Biblia imemfundisha tayari ndoa kati ya mfilisti na Mwebrania ni mwiko yaani ni marufuku mwanaume aliyeookoka kuoa mwanamke asiyeokoka vile vile binti kuolewa na mwanaume asiyeokoka. Hivyo oa tu ila hajaiva huyo bado ni dhahabu yenye uchafu hutoona mg' ao wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi dini hizi,mkuu kwa mtazamo wako hivi Allah na Jehovah ni kitu kimoja?
 
Maisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijaoa lakini marafiki na ndugu zangu wameoa. Wengi wanajuta wachache wanafurahia. So my advice is from my own experience nikiwa na my girlfriends/lovers and observation from hao ndugu zangu.

Kuhusu walokole.... a lot of them think that their Pastors are superior than their husbands... Hapa akiwa mmoja wa kundi hili hamna rangi utaacha ona. My advice tafuta a matured woman(30 and above) aliefanya mambo yake akamaliza na kuamua kutulia. Hapo utafurahia.

Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,hapo itakuwa ngumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
NI WAGUMU WANAJUA KILA KITU NI DHAMBI, MI SIMUWEZI MSICHANA MWENYE AIBU
Wewe unataka kuonja keki yamekuwa maharage?. Oa uone. Aibu kwa mwanamke huwa na radha yake. Unataka ile mmeingia tu tu ndani afunue skirt na kukusanulia Huku akiuambia hapa hapa?. Hilo Si litakuwa jini. We endelea na makahaba tu hao ndio halali yako ila binti aliyeookoka katu hutompata maishani mwako na ukimpata jua ni mbuzi huyo sasa jiulize mbuzi anaolewa na nani?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukibahatika kumpata aliyeookoka kwanza huwa ni wanyenyekevu, wapole, wavumilivu, kwao hawaamini katika kuachana, taa yao haizimiki usiku hapa kuwa kwakua mwili huwa wameufunga wakiufungua ni shida utapata vitu wewe mpaka usahau kwenu hata kama sio bikra utaikuta ni mnato balaa maana anasiku nyingi akiufunga mwili. Kuhusu roho mbaya hili halipo japo huwa si watu wa kujichanganya kwenye vikundi vya umbeya mtaani hutomkuta katu ni mtu ndani tu hivyo hili huwafanya wengi kuwasema sana hasa jinsia kike. Kingine kama unadungu waendeo bila ya utaratibu huwaambia ukweli ili wabadilike huwa hawakai na la moyoni katu hayo ni machache tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeoa mlokole nini???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom