Mliooa wanawake walokole piteni hapa tupeane uzoefu

Mliooa wanawake walokole piteni hapa tupeane uzoefu

Wewe unataka kuonja keki yamekuwa maharage?. Oa uone. Aibu kwa mwanamke huwa na radha yake. Unataka ile mmeingia tu tu ndani afunue skirt na kukusanulia Huku akiuambia hapa hapa?. Hilo Si litakuwa jini. We endelea na makahaba tu hao ndio halali yako ila binti aliyeookoka katu hutompata maishani mwako na ukimpata jua ni mbuzi huyo sasa jiulize mbuzi anaolewa na nani?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu samahani kama nimekukera
 
Maisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
je? na wewe ni mlokole?hilo ni jambo la kuzingatia sana kama wataka kuoa binti mlokole tofauti na hapo mtatofautiana tu hakuna namna
 
NI WAGUMU WANAJUA KILA KITU NI DHAMBI, MI SIMUWEZI MSICHANA MWENYE AIBU
Na ikitokea umemgegeda kabla ya ndoa. . huwa wanaenda kwa baba mchungaji kumwambia kuwa aligegedwa.. Ili baba mchungaji afute dhambi yake.. Na baba mchungaji lazima atangaze kanisani kila mtu ajue... Kuwa mtu fulani alianguka dhambini, shetani alimpitia.... Na kama ulikuwa unajishghulisha na utoaji wa huduma flan kanisan mchungaji anakusimamisha kwa mda...

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo sasa changamoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mcha Mungu to the maximum, na la mwisho anakuwa hachepuki bila kusahau ananena kwa lugha
Hee wangu siyo mlokole anamwambia mchepuko jana nilienda kanisani...kwa hiyo ni mnafiki na anmichepuko hivyo siwezi mahauri huyu jamaa maana sina mke mlokole nina mke shetani kabisa...
 
Kabla ya kuoa jamaa yangu jichunguze kwanza wewe, wewe ni nani, una tabia gani, ni dini gani, unapenda nn, ndipo utapata jibu la aina ya mwanamke unayemtaka otherwise utaokota koroma.
 
Hee wangu siyo mlokole anamwambia mchepuko jana nilienda kanisani...kwa hiyo ni mnafiki na anmichepuko hivyo siwezi mahauri huyu jamaa maana sina mke mlokole nina mke shetani kabisa...
Mkuu sijakuelewa kidogo
 
Ukichepuka anakuombea tu. ila kuna hawa Manabii uchwara nasikia wanataka sana,akimwambia roho mtakatifu kasema unipe aaah haina shida kiiulainii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom