PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,264
Oh oo oo!!!Chochote kitakachoendelea ndani ya familia yako kinapelekwa kwa mchungaji kama kilivyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh oo oo!!!Chochote kitakachoendelea ndani ya familia yako kinapelekwa kwa mchungaji kama kilivyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu flora mgogoro wake sijawahi kuuelewaga chanzo kilikuwa nini???
Ogopa mtu anaesalimia bwana asifiwe huku anakua ananawisha nawisha mikono yakeRoho mbaya tena??? Kwa mtindo huu tutakuwa hatuoi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akikiamsha usiku wa manane kukemea mapepo... kesho asubuhi lazima mwenye nyumba akuite mzungumze
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalo nenoMUNGU akutangulie Usioe mlokolee Jinaaa....!! Aiseee utaishi maishaa magumu sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ogopa mtu anaesalimia bwana asifiwe huku anakua ananawisha nawisha mikono yake
Uko sahihi sana wapo waliojidanganya waenda kanisani nafuu walikuja kujuta si kila mwenda kanisani yupo azaniavyo katika kwaya mambo yanayofanyika INASIKITISHA sanaAnyway, ushauri wangu ni huu
*wasichana wengi wa kilokole wameokoka (wameungana na walokole ) kwasababu wameambiwa na wazazi wao waende kanisani. Yaani hawajaamua wenyewe kutoka moyoni.
Kingine, wengine wameingiamo makanisani kutafuta waume wa kuwaoa. (kama wewe ulivyotegwa ) baada ya kuona umri unazidi kusogea.
So tafuta disciplined and focused girl (wife material ).
Nb:sijaoa, lakini nawafahamu sana HAWA wa kilokole
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwendo huu kupata mke ni shughuli sanaUko sahihi sana wapo waliojidanganya waenda kanisani nafuu walikuja kujuta si kila mwenda kanisani yupo azaniavyo katika kwaya mambo yanayofanyika INASIKITISHA sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikimpata nitamnyosha tu hata kwa vibao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ambovyo unaambiwaga make bora anatoka kwa bwana sasa ataachaje kumpenda bwana yesu kuliko Mme?[emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe umeokoka?Ukitaka mwanamke aliokoka haswa uwe na Macho ya kiroho, hapo.utampata, maana si mabinti wote wanaosema Yesu Asifiwe ameokoka, wengine ni maneno tu ila ndani hawajaokoka....Dawa ni wewe kuwa macho ya kiroho.
Hahahaha eti ushindwe kwa jina la bwana hehehemi najua wana aibu sana unaweza usienjoy jukwaa la mahusiano